Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Butiku amwomba JK alisitishe Bunge

 Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge la Katiba ndani ya mwezi mmoja ili kupisha maridhiano kufanyika baina ya pande mbili zinazovutana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Butiku: Kinachofanyika Bunge la Katiba ni utoto

MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana kwa kupitishwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajeruhiwa kisa amwomba mumewe fedha ya dawa

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mnyamasi, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Tatu Mihambo (20) amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na mumewe kwa fimbo na kisha kumwagiwa maji ya moto kwa madai ya kukasirishwa na kitendo cha kumuomba fedha ya matumizi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mrema amwomba Kikwete amfukuze Mbatia ubunge

Augustine Mrema

Mbunge wa Vunjo (TLP), Augustine Mrema

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP), amemwomba Rais Jakaya Kikwete amnyang’anye ubunge Mbunge wa Kuteuliwa, James Mbatia.

Mrema alitoa ombi hilo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Kikwete kwa ajili ya kutafuta mwafaka wa Bunge Maalumu la Katiba.

Chanzo chetu cha habari kilichokuwa katika kikao hicho kilichofanyika Ikulu ndogo eneo la...

 

10 years ago

Bongo5

Snoop Dogg amwomba msamaha Iggy Azalea baada ya kushauriwa na T.I

Hatimaye Snoop Dogg amemuomba msamaha rapper wa Australia Iggy Azalea baada ya utani uliozaa beef wiki hii kupitia Twitter na Instagram. Snoop alipost clip ya video Instagram siku ya Jumatano October 15 akimuomba msamaha Iggy na kusema amefikia uamuzi huo baada ya kuongea na rapper T.I anayetarajiwa kuwarusha mashabiki wa Tanzania Jumamosi hii pale Leaders […]

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge wa Sumbawanga Mjini,Aeshi Hilaly amwomba radhi Dr. Chrisant Mzindakaya

Mbunge wa Sumbawanga Mjini , Aeshi Hilaly akimwomba radhi Mwanasiasa mkongwe Dr. Chrisant Mzindakaya (kushoto) wakati alipotakiwa kufanya hivyo na Mkuu wa mkoa wa Rukwa Stella Manyanya (kushoto) katika ibada ya kumsimika Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Rukwa, Conrad Nguvumali kwanye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga Mei 25, 2014.

 

10 years ago

Mtanzania

Butiku kuishtaki CCM

Joseph ButikuNA WAANDISHI WETU

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Serikali imesusia maadhimisho ya 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Hali hiyo imejidhihirisha jana baada ya MTANZANIA kutembelea yaliyokuwa makazi ya Mwalimu Nyerere, Msasani Dar es Salaam na kutokuta chochote kilichokuwa kikifanyika kama sehemu ya maadhimisho hayo.

Licha ya kutokuta dalili yoyote ya maadhimisho hayo, nyumbani hapo kulikuwa na watoto waliokuwa wakifanya usafi.

Waandishi wetu...

 

11 years ago

Mwananchi

Butiku aionya CCM

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa kipo hatarini kupoteza madaraka katika uchaguzi mkuu ujao, iwapo kitafanya makosa na kuendekeza ubinafsi na utawala wa kiimla unaotokana na utamaduni wa rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma.

 

10 years ago

Mtanzania

Butiku: Hii ni siku ya aibu

Joseph ButikuBaada ya vurugu hizo kuisha Jaji Warioba hakurejea na badala yake Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, alisimama na kuiita siku ya aibu kwa Watanzania.

Alisema tukio la vurugu ndani ya ukumbi wa mdahalo huo limeshuhudiwa na Watanzania nchi nzima.

“Baadhi ya wahuni waliofanya tukio hilo tunawatambua hivyo katika mikutano yetu ijayo hatutawaruhusu kushuhudia midahalo yetu,” alisema.

Butiku alisema kuwa tukio hilo halitakuwa mwisho wa kuendelea kwa midahalo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani