Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili

KWA muda mrefu nimekaa kimya kusikiliza watu wakizungumza, na hasa mgombea urais kupitia Chadema

John Daniel

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NISAMEHE: HAKYANANI, NENO HILI LITAMWINGIZA LOWASSA IKULU

Na mwandishi wetu
KIPYENGA! Mpambano wa kuteuliwa na hatimaye kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu kuwania urais unazidi kushamiri huku jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ‘EL’ likiongoza kutajwa midomoni mwa Watanzania. Imebainika kuwa pamoja na  kelele nyingi zinazosikika mitaani za “Lowassa! Lowassa!” bado hazitoshi kumwingiza...

 

9 years ago

Mwananchi

Kova astaafu akikumbuka matukio matatu

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amestaafu huku akisema, katika kipindi alicholitumikia jeshi hilo, hatasahau matukio matatu maishani mwake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kajitiba ka katiba ni kutubu si kutibua

Ama kweli watu wamechoka. Hebu ona barua ya huyu jamaa. Makengeza Nilipokuwa napita zangu juzi nikamsikia jamaa katoa kitendawili cha kisasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli ataka walarushwa waanze kutubu

Dodoma. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ametoa muda kwa wala rushwa nchini kutubu dhambi zao kabla hajawa rais na watakaofanya hivyo alishawasamehe saba mara sabini lakini baada ya hapo akiingia Ikulu “atalala nao mbele”.

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awaasa 'Mafia' kutubu

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaonya wanachama wa genge la Mafia kwamba watakwenda motoni iwapo hawatatubu dhambi zao.

 

10 years ago

GPL

JANUARY, KWA HILI LA UIGIZAJI SI KWA LOWASSA TU

Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, January Makamba. UPO katika mwaka wa Uchaguzi Mkuu ambao utafanyika Oktoba mwaka huu, utakaoipatia nchi yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania rais wake wa tano, ambaye kwa mujibu wa katiba yetu, atakaa madarakani kwa muda usiozidi miaka kumi katika vipindi vya miaka mitano mitano. Tatizo hasa lipo CCM ambako dazani ya wanachama wake, kila mmoja anaamini anao uwezo wa kukalia kiti kile cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani