Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kova astaafu akikumbuka matukio matatu

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amestaafu huku akisema, katika kipindi alicholitumikia jeshi hilo, hatasahau matukio matatu maishani mwake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watu matatu wafariki dunia Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 08/03/2015 Majira ya saa 11:00hrs huko  katika kijiji cha Mundemu  Kata ya  Mundemu  Wilaya ya  Bahi Mkoa  wa  Dodoma  mtu aliyefahamika kwa jina la LEGANGA  KAZIMOTO, Mwenye miaka  40, Mkulima na Mkazi wa kijiji cha Mbalawala Manispaa ya Dodoma aliuwawa kwa kupigwa na kitu kizito  sehemu mbali mbali  za mwili wake  na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili

KWA muda mrefu nimekaa kimya kusikiliza watu wakizungumza, na hasa mgombea urais kupitia Chadema

John Daniel

 

10 years ago

BBCSwahili

Li Na astaafu tenisi

Mchezaji nambari moja wa Tennis nchini China LI Na amestaafu

 

10 years ago

GPL

MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU

Li Na. MCHEZAJI wa kwanza wa tenisi nchini China kushinda mashindano ya Grand Slam, Li Na, amestaafu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu. Li, mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni staa namba 6 kwa mchezo huo duniani, alisema kuwa anaondoka katika mashindano ya tenisi kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu, hasa kwenye magoti yake. Alishinda Grand Slams mara mbili - Frenc Open mwaka 2011 na Australian Open mwaka huu....

 

10 years ago

BBCSwahili

Rio Ferdinand astaafu

Aliyekuwa mlinzi wa timu ya Uingereza na Klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand amestaafu kucheza kandanda ya kulipwa.

 

10 years ago

Habarileo

CAG Utouh astaafu

ALIYEKUWA Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh ameagwa rasmi baada ya kustaafu wadhifa huo alioutumikia kwa miaka minane huku akilishukuru Bunge kwa kumpa ushirikiano wakati wa utumishi wake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nahodha wa SpringBoks astaafu

Nahodha wa kikosi cha mpira wa Raga nchini Afrika Kusini Jean de Villiers amestaafu katika raga ya kimataifa baada ya kuambiwa kwamba hatoweza kucheza tena katika mechi za kombe la dunia kutokana na jeraha la taya.

 

10 years ago

GPL

DCI MNGULU ASTAAFU

Aliekuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu. Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu amestaafu leo baada ya kufikia kikomo cha umri kisheria (zaidi ya miaka 60). Kwa sasa nafasi yake amekaimu, Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya. Kamanda Diwani Athumani aliyewahi kuiwa Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masebu astaafu akijivunia EWURA

“NASUBIRI kwa hamu kuona katiba ya mwisho itakuaje halafu niangalie ni fursa gani naweza kufanya baada ya hapo.” Hayo ni maneno ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani