NISAMEHE: HAKYANANI, NENO HILI LITAMWINGIZA LOWASSA IKULU
Na mwandishi wetu KIPYENGA! Mpambano wa kuteuliwa na hatimaye kupeperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu kuwania urais unazidi kushamiri huku jina la waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ‘EL’ likiongoza kutajwa midomoni mwa Watanzania. Imebainika kuwa pamoja na kelele nyingi zinazosikika mitaani za “Lowassa! Lowassa!†bado hazitoshi kumwingiza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Bongo Movies06 Aug
Hili Ndilo Neno la Leo Kutoka Kwa JB
Kazi yoyote unayoifanya kama utaipenda na kuweka moyo wako hapo..kisha ukaweka bidii na kujituma una asilimia kubwa ya kufanikiwa...maisha ya misheni town kwa miaka hii inayo kuja yanaweza kukuweka pabaya...Mungu akubariki...hili ndilo neno la leo toka kwa mtumishi wa bwana...jb....
Jacob Stephen ‘JB’on instagram
10 years ago
Bongo Movies22 Apr
Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara
“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio. Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboKauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili
KWA muda mrefu nimekaa kimya kusikiliza watu wakizungumza, na hasa mgombea urais kupitia Chadema
John Daniel
9 years ago
Bongo504 Dec
Barua kwa Dkt John Magufuli: Nisamehe, sikukuamini
Dear Uncle Magufuli,
Japo salamu hii hufaa kutamkwa kwa mdomo, lakini acha tu niseme Shikamoo Uncle Magu. Pole na kazi. Mimi sijambo kabisa. Nilitaka kukupigia simu lakini haina chaji nimeipeleka kwenye duka la Mtifuamchwa kuchaji ? si unajua ndiye mtu pekee mwenye jenereta hapa kijijini kwetu!
Uncle najua unaielewa vyema hali yangu lakini kama unijuavyo mimi huwa sipendi kukuomba chochote labda kama ukiamua kunitumia. Kusema na ule ukweli maisha ni magumu sana. Jana nilikula mlo mmoja tu...
9 years ago
Mtanzania24 Oct
Mikakati 16 Ikulu ya Lowassa
Na Elias Msuya
MGOMBEA urais wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ametaja mambo manne ya msingi na mengine 16 atakayoshughulikia endapo atachaguliwa katika uchaguzi utakaofanyika kesho, huku akitoa jibu juu ya vilio vya Watanzania alivyovishuhudia wakati wa kampeni akisema: ‘Nimeona, nimesikia, nimeelewa na nitatenda’.
Akihutubia Taifa kwa njia ya televisheni, redio na hotuba yake kusambazwa katika mitandao ya intaneti jana jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
TheCitizen30 May
Richmond, Lowassa and the race to Ikulu