Mikakati 16 Ikulu ya Lowassa
Na Elias Msuya
MGOMBEA urais wa Chadema anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ametaja mambo manne ya msingi na mengine 16 atakayoshughulikia endapo atachaguliwa katika uchaguzi utakaofanyika kesho, huku akitoa jibu juu ya vilio vya Watanzania alivyovishuhudia wakati wa kampeni akisema: ‘Nimeona, nimesikia, nimeelewa na nitatenda’.
Akihutubia Taifa kwa njia ya televisheni, redio na hotuba yake kusambazwa katika mitandao ya intaneti jana jijini Dar es Salaam,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s72-c/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s640/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
10 years ago
TheCitizen30 May
Richmond, Lowassa and the race to Ikulu
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LGdhCycw6D82S2KBhTJ4zF8AUD8dHjsXY*1fwFp3DwRDsJwa7pqeUUJjpR2raBXY0HOC8Fjs7CHddmpfewwWkDnjWYmJKELu/Lowassa.gif?width=650)
UGUMU WA LOWASSA KUINGIA IKULU
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Lowassa: Chadema imeiva kuingia Ikulu
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Watake wasitake Ikulu tunaingia — Lowassa
NA MAREGESI PAUL, KONGWA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kuingia Ikulu kwa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kutokana na hali hiyo, amewataka wanaomkosoa wawe wanajibu hoja kwa kuwa yeye ana utaratibu wa kuwaeleza Watanzania atawafanyia nini baada ya kuingia madarakani.
Lowassa alitoa kauli hiyo jana wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kibaigwa,...
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Lowassa: Ipo siku nitaingia Ikulu
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
ALIYEKUWA mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono Ukawa, Edward Lowassa amesema ipo siku ataingia katika Ikulu kwa kupigiwa kura na Watanzania.
Lowassa alitoa kauli mjini hapa jana katika Viwanja vya Shule ya Msingi Sinoni wakati akimuombea kura mgombea ubunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.
Akizungumza kwa mara ya kwanza tangu matokeo ya urais yalipotangazwa na kumpa ushindi Dk. John Magufuli, Lowassa alisema anaamini...
10 years ago
Habarileo17 Jun
Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu
MGOMBEA anayewania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, Edward Lowassa jana alifanikiwa kupata wanachama 22,750 wa kumdhamini mkoani Singida na kusisitiza anaomba kwenda Ikulu ili amalize umasikini unaowakabili Watanzania, huku akisema Watanzania wasichague kiongozi masikini.
10 years ago
TheCitizen02 Aug
Lowassa ready for Chadema Ikulu ticket