Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli ataka walarushwa waanze kutubu

Dodoma. Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ametoa muda kwa wala rushwa nchini kutubu dhambi zao kabla hajawa rais na watakaofanya hivyo alishawasamehe saba mara sabini lakini baada ya hapo akiingia Ikulu “atalala nao mbele”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kwanini ni muhimu wasanii wa Tanzania waanze kutoa album tena!

Ninafahamu na ni ukweli usiopingika kuwa album haziuzi lakini hiyo si sababu tosha ya wasanii kuacha kabisa kutoa album. Tunakosa uhondo. Wakati ambapo tunaendelea kuumizwa kichwa kuhusu namna mpya ya kusambaza album za wasanii, nadhani wasanii hawapaswi kabisa kukaa na ngoma zao maghetoni. Kuna faida gani ya kukaa na nyimbo ndani ambazo baadaye unaishia kuzichukia […]

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba Inayopendekezwa ni faraja kwa walarushwa na mafisadi

Jana tulichapisha habari kuhusu Tanzania kushuka katika orodha ya nchi zinazofanya jitihada za kupambana na rushwa, baada ya taasisi inayochunguza masuala hayo, Transparency International (TI) kueleza kwamba imeshuka kwa nafasi nane kutoka ya 111 mwaka jana hadi ya 119 mwaka huu kati ya nchi 175 zilizolengwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kajitiba ka katiba ni kutubu si kutibua

Ama kweli watu wamechoka. Hebu ona barua ya huyu jamaa. Makengeza Nilipokuwa napita zangu juzi nikamsikia jamaa katoa kitendawili cha kisasa.

 

9 years ago

Raia Mwema

Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili

KWA muda mrefu nimekaa kimya kusikiliza watu wakizungumza, na hasa mgombea urais kupitia Chadema

John Daniel

 

11 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awaasa 'Mafia' kutubu

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis amewaonya wanachama wa genge la Mafia kwamba watakwenda motoni iwapo hawatatubu dhambi zao.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa ataka ahadi za Dk. Magufuli zipimwe

lowasNa Mwandishi wetu, Dar es Salaam

ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za Rais, Dk. John Magufuli  na    CCM kuhusu elimu.

Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk.   Magufuli, aagize watendaji wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure kuanzia  Januari mwakani.

Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule ya awali hadi...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli ataka mitazamo tofauti kuhusu albino

RAIS John Magufuli amesema nchi bado inakabiliwa na tatizo la imani za kishirikina dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi kufanyiwa vitendo kinyume na haki za binadamu, ikiwemo kuuawa na kueleza kuwa kinachotakiwa ni kubadilisha mitazamo ya watanzania kuhusu albino.

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira ataka Magufuli amtaje aliyeua viwanda

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amemtaka mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kuwaeleza Watanzania nani aliua viwanda kabla ya kuahidi Tanzania nyingine ya viwanda.

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli ataka kampeni za kisayansi kupata ushindi wa tsunami

Waziri wa Ujenzi na mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema kuwa wana-CCM mwaka huu wanapaswa kufanya kampeni za kisayansi zaidi kuhakikisha wanapata ushindi wa tsunami utakaowezesha kuundwa kwa Serikali imara itakayowaletea maendeleo Watanzania wote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani