Lowassa ashindwa kujibu maswali BBC
![](http://api.ning.com:80/files/ctVGzmtSoN8WGz7UjVkDAT4YJ0EcZq8me6FyRyg*tqSNfKRfdINpR*GnINQogeswJCFqYkZxBEGJzu7xtFltU6qXgT2lt32E/EdwardLowassa1024x1024.jpg?width=650)
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa. Na Hamida Hassan MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa, (pichani) ameshindwa kujibu maswali aliyoulizwa na Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus, kuhusu ahadi yake ya elimu bure hadi chuo kikuu pamoja na namna atakavyopambana na ufisadi. Katika mahojiano hayo yaliyorushwa hewani Oktoba 21, 2015, Lowassa amesema suala la ufisadi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-3mwnOZAswEc/VTTeccRRarI/AAAAAAAAsOQ/zaZYkacOuhI/s72-c/act.jpg)
ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu
![](http://2.bp.blogspot.com/-3mwnOZAswEc/VTTeccRRarI/AAAAAAAAsOQ/zaZYkacOuhI/s640/act.jpg)
Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...
Wadhamini wa chama ni akinanani.?
Kama...
9 years ago
BBCSwahili22 Oct
Bi Clinton kujibu maswali ya Congress
11 years ago
BBCSwahili10 Feb
Tuna maswali ya kujibu asema Wenger
11 years ago
Mwananchi05 Jun
Shein awataka mawaziri Z’bar kujibu maswali kwa hoja
10 years ago
MichuziCMSA YAZINDUA MASHINDANO YA INSHA NA KUJIBU MASWALI KWA WANAVYOU KOTE NCHINI
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Lowassa agoma kujibu swali la Richmond
9 years ago
Vijimambo01 Sep
MASWALI KWA MHE. EDWARD LOWASSA
![Waziri wa zamani wa Elimu, Joseph Mungai](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2852224/highRes/1105440/-/maxw/600/-/u1kiwe/-/mungai+iringa.jpg)
Bwana Luke kama hutajali naomba ubandike haya mawazo yangu.
jina langu ni Tom
Nimesoma katika gazeti la mwananchi la leo ambalo lili mnukuu mgombea urais kupitia Ukawa Ndugu Edward Lowassa alipokuwa akihutubia huko Iringa akiwaahidi watanzania elimu ya bure kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu kuanzia January mwakani 2016. Zaidi aliahidi kulipa madai yote ya Walimu na wafanyakazi wengine wa serikali ambapo haya ni mabilioni ya pesa. Huyu...
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
10 years ago
Mwananchi03 Aug
VIONJO VYA WIKI: Usajili wa Lowassa Ukawa umeacha maswali yanayohitaji majibu