Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein awataka mawaziri Z’bar kujibu maswali kwa hoja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amewataka mawaziri kujibu maswali yanayoulizwa na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa hoja na kwa umakini mkubwa ili kufanikisha utekelezaji wa wajibu wa baraza wa kuisimamia Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kinana: Nitarudi na mawaziri kujibu hoja

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kuwapeleka baadhi ya mawaziri kwa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika vijiji vilivyopo ndani ya Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

NAPE aitaka tume kujibu hoja kwa wakati

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuvaakisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizeshen CCM,Dk.Mohamed Seif Khatibu.

4

Wadau mbali mbali wa vyama...

 

10 years ago

Michuzi

CMSA YAZINDUA MASHINDANO YA INSHA NA KUJIBU MASWALI KWA WANAVYOU KOTE NCHINI

Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua mashindano ya ya insha na kujibu maswali yanayolenga kuelimisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kote nchini kuhusu uelewa wa masoko ya mitaji na dhamana. Mashindano hayo yanayolenga kuongeza ari kwa wanafunzi kujifunza kuhusu masoko ya mitaji yanashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini bila kujali taaluma wanayosemea. Uzinduzi rasmi umefanyika tarehe 1 June 2015 mjini Dar es Salaam na yanatarajiwa kumalizika tarehe 15...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AWATAKA VIONGOZI WA SERIKALI KUJIBU MASUALA YA WANANCHI KWA WAKATI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa kata ya Ilolo mpya jimbo la Isimani mkoani Iringa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaidiana na Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh.William Lukuvi kufyatua matofali ya ujenzi wa ofisi ya CCM ya Kata Kijiji cha Luganga kata ya Ilolo Mpya.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia daftari la wanachama wa shina namba sita kwa Balozi Changula Mlula.    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawaziri wajibu hoja kwa vijembe

Tambo, kejeli, vijembe na kampeni vilitawala bungeni mjini hapa jana wakati mawaziri wakijibu hoja za wabunge wa upinzani waliokosoa Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bi Clinton kujibu maswali ya Congress

Mwaniaji wa urais nchini Marekani bi Hillary Clinton anatarajiwa kutoa ushahidi wake mbele ya wabunge wa Congress leo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tuna maswali ya kujibu asema Wenger

Wenger asisitiza kuwa wana uwezo wa kushinda ligi kuu msimu huu lakini amekiri kipigo walichopata Anfeild kimezua maswali mengi

 

9 years ago

GPL

Lowassa ashindwa kujibu maswali BBC

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa. Na Hamida Hassan MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa, (pichani) ameshindwa kujibu maswali aliyoulizwa na Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zuhura Yunus, kuhusu ahadi yake ya elimu bure hadi chuo kikuu pamoja na namna atakavyopambana na ufisadi. Katika mahojiano hayo yaliyorushwa hewani Oktoba 21, 2015, Lowassa amesema suala la ufisadi...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI JAMES MBATIA AWATAKA WANASIASA KUSHINDANA KWA HOJA SIO KULUMBANA

* Kauli ya Rais Magufuli ya Uchaguzi mkuu  kuwa huru na haki yawafurahisha vyama vya siasa
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amesema kuwa Rais Dk.John Magufuli amewathibitishia vyama vya upinzani nchini Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unaotarajia kufanyika Oktoba utakuwa wa huru na haki.

Mbatia ameyasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Dk.John Magufuli ambapo katika mazungumzo yao moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani