Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atoa msimamo Richmond, aahidi meli iliyomshinda JK, Mkapa

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amewashukia wanamhusisha na sakata la Richmond na kusema, “Siwajibu ng’o” na kupeleka jukumu hilo kwa wananchi akiwataka wawajibu kwa kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Oktoba 25, mwaka huu awe Rais wa Awamu ya Tano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mwakyembe Amshambulia LOWASSA Kuhusu Sakata la Richmond Mwigulu Nchemba naye Adai Lowassa Ni Mpiga Dili Tangu Kijana


Mwakyembe Akihutibia UmatiAliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa walijiridhisha pasipo shaka kuhusika kwa Edward Lowassa katika sakata la Richmond na kwamba hawakumsingizia kama anavyojitetea hivi sasa.Mwakyembe aliyasema hayo mbele ya maelfu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa mgombea urais wa CCM, Dk John...

 

10 years ago

TheCitizen

Richmond, Lowassa and the race to Ikulu

Dar es Salaam. On Monday this week, former Prime Minister Edward Lowassa opened what some analysts were quick to nickname “Pandora’s Box” after the Monduli lawmaker offered a well-crafted, rare version of his side of the story of the Richmond power scandal.

 

9 years ago

Habarileo

Mwakyembe: Lowassa ndiye Richmond

MJUMBE wa timu ya kampeni ya CCM, Dk Harrison Mwakyembe, amesema sakata la kashfa ya Richmond, haliwezi kuachwa kuzungumzwa na wanaCCM kwa kuwa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameanza kusingizia watu wengine kuhusika na kashfa hiyo, jambo ambalo alisema haliwezi kuachwa lipotee bila kujibiwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa: Anayejua Richmond ni Kikwete


Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara ya kwanza amemtaja Rais Jakaya Kikwete ndiye anayefahamu kwa kina mkataba wa Kampuni ya Richmond uliosababisha nchi kupata hasara ya mamilioni.Lowassa anasema, “mamlaka ya juu” ukiachilia mbali yeye aliyekuwa waziri mkuu wakati huo mkataba ukisainiwa ilikuwa inajua kila hatua na kwamba ndiye alikuwa akimaanisha Rais ambaye kwa sasa ni Jakaya Mrisho Kikwete.
Anayetafsiri mamlaka ya juu ni Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa agoma kujibu swali la Richmond

Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa jana aliruhusu maswali kwenye mkutano wake wa kampeni, lakini akakataa kujibu swali lililomtaka aelezee kilichotokea kwenye sakata la Richmond, akisema swali hilo “halina maana”.

 

10 years ago

TheCitizen

Lowassa: Richmond was a clean deal; I’m fit as a fiddle

>It was a scandal that rocked the nation, causing a political storm in February 2008—when finally Prime Minister Edward Lowassa resigned—along with two other Cabinet ministers Ibrahim Msabaha and Nazir Karamagi.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA RASMI CHADEMA, AKABIDHIWA KADI, ASEMA HAUSIKI NA RICHMOND

Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema. PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA ===>http://bit.ly/1KvrOpq

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM

Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa. WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1: Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji. Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond

Monday, August 31, 2015 MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa […]

The post Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani