Lowassa awagawa CUF, Chadema
MPANGO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Wiki iliyopita, Raia Tanzania liliandika taarifa kwamba Chadema walipanga kumtangaza Lowassa Jumapili ya jana baada ya kumaliza mazungumzo naye, lakini hilo lilishindikana.
Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinadai kuwa huenda...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Aug
Wahama Chadema, CUF kumkimbia Lowassa
WANACHAMA 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha Wananchi(CUF) kutoka matawi ya Ubungo na Kilimani, wamerudisha kadi zao katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kile walichodai kuwa kitendo cha viongozi hao kumpokea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ni kuvunja katiba na kukidhalilisha chama.
10 years ago
Mwananchi29 Jul
LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Lowassa kwenda NEC kupitia CUF
10 years ago
TheCitizen08 Aug
CUF: Our support for Lowassa won’t change
10 years ago
Habarileo10 Aug
Lowassa awapoza CUF kuondoka kwa Lipumba
MGOMBEA urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amewapa pole wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kwa mshituko wa kuondokewa na Mwenyekiti wao wa Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu, huku akiwataka kutovunjika moyo, bali waongeze mshikamano ili dhamira ya kuingia Ikulu iweze kutimia.
9 years ago
TheCitizen29 Oct
Ukawa gives Chadema, CUF more seats
11 years ago
Habarileo05 Mar
CCM, CUF, Chadema washambuliwa
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amevishambulia vyama vya CCM, CUF na Chadema kuwa vinaharibu Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutaka misimamo yao ya vyama itawale vikao vya bunge hilo.
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema, CUF wavutana Musoma
10 years ago
Habarileo17 Dec
CUF, Chadema vyadondoka Temeke
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam kimeongoza katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Jumapili iliyopita ambapo imepata wenyeviti 145 katika mitaa 209 iliyopiga kura.