CUF, Chadema vyadondoka Temeke
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam kimeongoza katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Jumapili iliyopita ambapo imepata wenyeviti 145 katika mitaa 209 iliyopiga kura.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
CHADEMA Temeke yapata viongozi wapya
BERNAD Mwakyembe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Temeke, baada ya kumshinda mwenyekiti wa zamani Yona Patrick, katika uchaguzi wa kikatiba uliofanyika jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NFpLPbeZNYAJ-9tviE7nfg--k7YaCbdJWAjxOq8-W0vZ8JzE9QmRyqVByYwyf9W3mkVDxSStIwo6tMjafhHHscXhdvpTp3XB/1Yona.jpg?width=650)
MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE AVAMIWA, APIGWA, ATUPWA UNUNIO
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke atekwa nyara, ajeruhiwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-9dJpvjrY2Kbuao7dRmkO8Hal1cEduKvQ7I531d2wCRWCfPVkge-VRKwK00wiCgoo*EDPJENJgevUb7VpCwNPjX/chadema.png?width=350)
CHADEMA YATOA TAMKO KUFUATIA MAUAJI YA MWENYEKITI WA CHAMA TEMEKE
11 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema, CUF wavutana Musoma
9 years ago
Habarileo25 Aug
Chadema, CUF washindwa kukubaliana
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na Chama cha Wananchi (CUF) wilayani Kilombero, mkoa wa Morogoro, vimeshindwa kuachiana jimbo la Kilombero na hivyo kila kimoja kusimamisha mgombea ubunge.
11 years ago
Habarileo05 Mar
CCM, CUF, Chadema washambuliwa
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amevishambulia vyama vya CCM, CUF na Chadema kuwa vinaharibu Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutaka misimamo yao ya vyama itawale vikao vya bunge hilo.
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Lowassa awagawa CUF, Chadema
MPANGO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Wiki iliyopita, Raia Tanzania liliandika taarifa kwamba Chadema walipanga kumtangaza Lowassa Jumapili ya jana baada ya kumaliza mazungumzo naye, lakini hilo lilishindikana.
Taarifa kutoka ndani ya Chadema zinadai kuwa huenda...