Lowassa kukabiliana na viongozi wazembe
WAZIRI Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa amesema endapo CCM itapitisha jina lake kugombea urais na baadaye kuingia Ikulu, atahakikisha anaendesha nchi kwa mchakamchaka na kiongozi ambaye hatafanya kazi atafukuzwa mara moja.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Kampeni ‘zomea viongozi wazembe’ yaja
WATANZANIA wametakiwa kuanzisha kampeni ya nguvu ya umma kuwazomea viongozi wanaotumia madaraka yao kuuza rasilimali za nchi kwa wageni, huku wazawa na taifa likiendelea kuishi kwenye giza la umaskini. Wito huo umetolewa na...
9 years ago
StarTV14 Sep
Viongozi wa kamati watakiwa kuandaa njia mbadala ya kukabiliana na maafa
Wenyeviti wa kamati za maafa na majanga za wilaya wametakiwa kuwa na njia mbadala za kukabiliana na maafa na majanga kabla hayajatokea badala ya kusubiri mpaka yatokee ndipo wayafanyie kazi.
Aidha wametakiwa pia kutumia sheria na taratibu za vijiji ili kukabiliana na maafa na majanga yayoweza kuzuilika ikiwemo kuzuia shughuli zinazofanywa na binadamu na kuchangia uharibifu wa mazingira.
mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstafuu Chiku Galawa ameyasema hayo katika warsha ya kuwasilisha tathmini...
11 years ago
Habarileo08 Jun
Viongozi wauza ardhi wang’olewe-Lowassa
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza zawadi ya bia na nyama choma.
10 years ago
MichuziViongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa
Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-2a-cRSmOgwA/VfNEqWHNnnI/AAAAAAAAkT0/y35ol-Urfdw/s72-c/1.jpg)
LOWASSA AFUNGUKA MAZITO..ASEMA LIST HII YA VIONGOZI HAWA SITOWAACHA!!
![](http://3.bp.blogspot.com/-2a-cRSmOgwA/VfNEqWHNnnI/AAAAAAAAkT0/y35ol-Urfdw/s640/1.jpg)
KIAMA kwa Viongozi hawa na hakika neema inakuja!Mgombea urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda serikali itakayokuwa na viongozi wenye uwezo wa kuchukua hatua na kutatua matatizo ya wananchi na atahakikisha utaratibu wa wananchi kulalamika na viongozi pia kulalamikakama ilivyo sasa unabaki kuwa historia.Mh Lowassa ambaye amefanya mikutano minne katika majimbo ya Mtera, Bahi Chilonwa na Dodoma mjini pia amewaomba watanzania kumpa nafasi ya...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-D0fzmxL9ZYk/VZA1iQGViYI/AAAAAAAHlIg/BY0f7EhhrP0/s72-c/MMGL0026.jpg)
WANACCM 78, 500 WA MKOWA WA PWANI WAMDHAMINI MH. LOWASSA, APATA BARAKA ZA VIONGOZI WA DINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0fzmxL9ZYk/VZA1iQGViYI/AAAAAAAHlIg/BY0f7EhhrP0/s640/MMGL0026.jpg)
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Mawaziri wazembe wazidi kukaangwa
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Pluijm: Wachezaji Yanga wazembe
10 years ago
Tanzania Daima20 Oct
Sadick: Msiwatetee wafanyakazi wazembe
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, amevitaka vyama vya wafanyakazi nchini, kuacha kuwatetea na kuwabeba wafanyakazi wabovu wasiojituma na kuwajibika kwenye maeneo ya kazi. Sadick, aliyasema...