Lowassa ni fumbo la siasa Tanzania
ZAIDI ya Watanzania milioni sita takriban asilimia 40 ya waliopiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa m
Njonjo Mfaume
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Mh. Lowassa amjulia hali mwalimu wake wa siasa

Mh. Lowassa alikuwa Katibu wa Chama wa mkoa enzi za uenyekiti wa Mzee Kaaya na ndiye aliyemfudisha uongozi wa kisiasa.Katika maongezi yao Mzee...
11 years ago
Michuzi
Wakongwe wa siasa nchini Kenya wamtembelea Mh. Lowassa Monduli

10 years ago
Mwananchi16 Sep
Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?
“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!â€.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.
10 years ago
Vijimambo10 Oct
HII NDIYO SIASA ONA MWENYEWE LOWASSA AKIMNADI KUBENEA

Juu ni Kubenea akinyanyuliwa mkono na Lowassa kunadiwa kwa kiti cha Ubunge Ubungo mwaka 2015. Chini ni makala aliyowahi kuandika Kubenea kuhusu Edward Lowassa.Mabilioni yatengwa kumsafisha Lowassa
Na Saed Kubenea
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowassa ameelezwa kuwa na mradi wa karibu Sh. 8 bilioni wa “kujisafisha” na kumwingiza ikulu.Lowassa alipoulizwa na gazeti hili kuhusu mradi huo, alijibu kwa mkato, “Mimi sijui.”MwanaHALISI limeelezwa kwamba fedha...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Muungano si fumbo la imani, tuujadili
KWENYE hili suala la muundo wa Muungano lazima tukubali kwamba CCM na serikali yake imechepuka katika hoja. CCM kama chama wana haki ya kuwa na maoni yao kuhusu muundo wa...
10 years ago
Mwananchi01 Feb
afumbua fumbo la wimbo ‘Njoo Uchukue’
Watu wakikimbia wanakozika hudondokea kwenye maiti nyama, siku zote naamini kwamba huwezi kulala kwenye mto hata kama uliokauka, ukitaka kujua mwendo wa mjinga mpe kilemba uone, kama ya kwangu itakusaidia ili kupata, njoo nyumbani uifuate.â€
11 years ago
Habarileo03 Mar
Ufunguzi Bunge la Katiba bado fumbo
MPAKA sasa haijulikani lini Bunge Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi, kutokana na kuendelea kusogezwa mbele kwa shughuli muhimu za Bunge hilo kabla ya kufunguliwa kwake.
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini
>Je, lugha ipi itumike kufundishia elimu ya msingi? Hili ni swali ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiibua mijadala katika duru za kisomi na ndani ya jamii kwa jumla.
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Conway knot: Jinsi Lisa Piccirillo alivyotatua fumbo la hesabati la miaka 50 katika muda wake wa ziada
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu nchini Marekani ametatua hesabu ya miaka 50 katika muda wake wa ziada, chini ya kipindi cha wiki moja.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania