Mh. Lowassa amjulia hali mwalimu wake wa siasa

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimjulia hali Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Arusha,Mzee Jackson Kaaya nyumbani kwake Poli Meru wakati alipofika kumuona na kumsabahi.Pembeni ni mkewe Bibi Jacobert Kaaya.Mzee Kaaya mwenye umri wa miaka 94 alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa TANU Mkoa wa Arusha hadi alipostaafu mwaka 1984.
Mh. Lowassa alikuwa Katibu wa Chama wa mkoa enzi za uenyekiti wa Mzee Kaaya na ndiye aliyemfudisha uongozi wa kisiasa.Katika maongezi yao Mzee...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Mh. Lowassa amjulia hali sheikh mkuu wa Dodoma

10 years ago
Vijimambo
LOWASSA AMJULIA HALI ASKOFU RUZOKA WA JIMBO KATOLIKI TABORA

10 years ago
Michuzi.jpg)
Lowassa amjulia hali askofu mkuu ruzoka hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam leo
.jpg)
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK amjulia hali Mgonjwa Bagamoyo
.jpg)
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU AMJULIA HALI MBOWE
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa...
11 years ago
GPL
MBOWE AMJULIA HALI MBUNGE ROSE KAMILI
10 years ago
Michuzi
MH. PINDA AMJULIA HALI MBUNGE VITA KAWAWA

.jpg)
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU AMJULIA HALI FREEMAN MBOWE
Waziri Mkuu amemuombea kiongozi huyo uponyaji wa haraka wa majeraha aliyoyapata baada ya kuvamiwa na watu ambao bado hawajajulikana wakati akiingia nyumbani kwake jijini Dodoma usiku wa kuamkia leo Juni 9, 2020.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za tukio la kuvamiwa kwa Mheshimiwa...