Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Sitaki mchezo

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana alipokewa na maelfu ya watu mjini hapa ambao kwenye uwanja wa Ruanda, Nzovwe, aliwaambia wananchi kuwa hatataka mchezo katika serikali atakayoiongoza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI ZA BARABARANI ZIMEKUWA KAMA MCHEZO - LOWASSA

Mbunge wa Wilaya ya Temeke, Abbas Zuberi Mtemvu (kushoto) na Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Ngoyai Lowassa (kulia) baada ya kumaliza matembezi ya kupinga mauaji ya Albino. Mh Lowassa akisalimiana na wabunge wa mkoa wa Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Snura:Sitaki Unafiki

MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.

“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE: SITAKI KUTONGOZWA

Na Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake. Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu...

 

11 years ago

GPL

MWASITI: SITAKI MWANAUME

Stori: Andrew Carlos STAA anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas, amesema kwa sasa hataki kusikia habari za mwanaume kabisa. Staa anayefanya vizuri kwenye Bongo Fleva akitokea Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’, Mwasiti Almas akipozi. Akizoza na mwandishi wetu, Mwasiti alisema: “Sitaki mwanaume, nahitaji kujipanga kimaisha kwanza. Kama kuna mtu...

 

10 years ago

Vijimambo

Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”


HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi cha ‘Mada Moto’ kinachorushwa na kituo cha runinga cha Chanel Ten kujadili mada iliyotajwa kama ‘Lowassa Ndani ya CCM’.Polepole alionesha msimamo wake wa kumkataa Edward Lowassa kuwa...

 

9 years ago

GPL

SITAKI SIASA NYUMBANI KWANGU!

Nasema sasa nimechoka na ntamtandika mtu mikwaju muda si mrefu. Nyumba yangu halafu wapangaji ndiyo wananisumbua hivi? Hivi wanajua nyumba hii nilijengaje? Miaka hiyo hapa palikuwa shamba la mpunga nikadunduliza hela nikanunua haka kashamba, kisha wakati huo nikiwa kuli mbeba mizigo pale bandarini ndiyo nikawa nakusanya hela kidogo kidogo mpaka nikajenga kakibanda leo hii imekuwa nyumba, nimewakaribisha hawa ambao hawajui hata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aveva: Sitaki nongwa Simba

UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya Rais Evans Aveva, umesema hauna muda wa kupoteza katika  kulumbana na yeyote, badala yake unajikita katika mambo muhimu  ikiwemo maandalizi ya timu yao...

 

10 years ago

GPL

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi
HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na...

 

10 years ago

Mtanzania

Pluijm: Sitaki mazoea Yanga

PluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema hataki kuwa na kikosi cha mazoea, hivyo wachezaji atakaowatema wanatakiwa kujifunza na kujifua upya ili aweze kuwarudisha tena kuitumikia klabu hiyo kipindi cha dirisha dogo.
Wachezaji wazawa wanaotajwa kupitiwa na panga la kuachwa ni Jerryson Tegete, Danny Mrwanda, Husein Javu, Said Bahanuzi, Nizar Khalfan, Omega Seme, Alphonce Matogo na Hamis Thabiti.
Pia huenda ikawatema wachezaji wake wa kigeni,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani