MASOGANGE: SITAKI KUTONGOZWA
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9FvUrdLEXa-r3NnQp-M3vKvS2MKj4ZZ7MsiXERTQJ*tihRotonhE2xoX5SUMOhb8Gr7FjnIY6NGz9ne340Rx8k1/maso.jpg?width=650)
Na Imelda Mtema VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema kuwa ana mtu wake. Agnes Gerald Waya ‘Masogange’. Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt63B9e7O0OqJBmOzOf*D35AF*A0kShnmtIcTZQOWXbF*6kUYfkifWVcfcjIwv0nL4OjYPUw77N4szRmQA79GpO1p/dayna.jpg?width=650)
CHIPUKIZI MSIOGOPE KUTONGOZWA- DAYNA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqx0xO34xAtUEnk9M9973FA79fbgw0P5CD71V4UCEQ4J6am8buEeW3OcSYpi1J2VFu5vPfBE7XavEtHXWxWOKEJU/1.jpg?width=650)
MASOGANGE...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6nPfLe9YbjoAms*5D9T0AJZGkj1uLvBP3I-8pTaieVOTv7A1DS0E5avv9vnN2Y0UCUXdqTv6ooN74GEQJEIw*JH/mwasity3.jpg?width=650)
MWASITI: SITAKI MWANAUME
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Snura:Sitaki Unafiki
MWIGIZAJI wa filamu na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi ‘Mama wa Majanga’ amesema kuwa anakerwa sana na unafiki unaofanywa na baadhi ya wasanii kwa kushirikiana na wapenzi wa kazi zao kwa kufanya kampeni za kuangushana katika medani za kimataifa.
“Naepukana na unafiki tena naweza kusema roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yantumia muda mwingi kuwadisi wengine, mfano hivi sasa wakati Diamond anagombea Tuzo kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu...
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Lowassa: Sitaki mchezo
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Johari: Sitaki filamu za mazoea
NA JANETH MAPUNDA (MSPS)
NYOTA wa filamu nchini, Blandina Chagula ‘Johari’, amesema anajipanga ili akitoa filamu ziwe nzuri zitakazoendana na matakwa ya mashabiki wake.
Johari alisema ukimya wake haumaanishi kuishiwa kisanaa bali ni mbinu anayoitumia kutafakari ili akirudi awe mpya kwa mashabiki na kwenye kiwanda cha filamu kwa ujumla.
“Unajua usifanye kazi kwa mazoea ili uonekane, unatakiwa kufanya kazi zenye hadhi na zikonge nyoyo za Watanzania ndiyo maana nipo kimya kwa muda ili nikirudi...
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Filikunjombe: Sitaki urais 2015
![Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deo-Filikunjombe.jpg)
Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe
NA MWANDISHI WETU, LUDEWA
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amesema katu hatamani kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Amesema bado anajiona anafaa zaidi katika nafasi ya ubunge na si urais kwani nafasi hiyo ya juu inahitaji ustahimilivu mkubwa, hasa kutokana na matumaini ya Watanzania kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hayo aliyasema juzi wilayani Ludewa, alipokuwa akizungumza katika misa ya kumuombea marehemu baba yake mzazi, Florian...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMC*hHjMKHk-*AzwMYesUhPGAOBmBAlMHloTJra*riPQbxsItQzxD-w3lDs3JYbge8jIByFEbzpcrhi1-AH5rLT/BATULI.jpg)
BATULI: SITAKI HABARI ZA MTUNISI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3MM-Rp67wqr*mrYOGPQNGD9Wr8GsNrsL5HM*0AvauqwOqZadCXifYJ4jQ7XG2LIFusr66AFXwgz4gU6k6JpXFO8/CHEKANAKITIME.jpg)
SITAKI SIASA NYUMBANI KWANGU!