Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lt.Col PASCAL STEPHEN HAULE (Rtd) WA KILUVYA GOGONI AFARIKI DUNIA

Familia ya Haule wa Kiluvya Gogoni Inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Lt. Col. Pascal Stephen Haule(mstaafu)  Kilichotokea tarehe 10/4/2015 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo.Mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Kiluvya Gogoni siku ya jumanne 14/4/2015 Habari ziwafikie Ndugu  jamaa majirani na marafiki Popote pale walipo.
Bwana Ametoa Bwana Ametwa Jina la Bwana Lihimidiwe

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA KILUVYA GOGONI NA KIBOSHO

Marehemu Mzee Aloyce Kirango Familia ya Mzee Aloyce Kirango wa Gogoni, Kiluvya, Dar es salaam,  inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa kilichotokea tarehe 21 april 2014 asubuhi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu  Gogoni  Kiluvya. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa familia.

 

10 years ago

Michuzi

News Alert: mtangazaji mahiri wa RTD Ben Kiko afariki dunia

Mtangazaji wa zamani wa Radio Tanzania (RTD) sasa TBC,Ben Hamis Kikoromo maarufu kama Ben Kiko enzi za uhai wake akiwa katika moja ya semina alizohudhuria.

MTANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe nchini Ben Kiko amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hosptali ya taifa ya rufaa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ben Kiko ambaye jina lake kamili ni Ben Hamisi Kikoromo alihamishiwa katika hosptali ya Muhimbili kutokea hosptali ya Jeshi ya Milambo ya mkoani...

 

11 years ago

CloudsFM

RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

 

11 years ago

Michuzi

SHUKURANI/APPRECIATION FROM THE FAMILY OF THE LATE Lt. Col (Rtd) Maurice Noel Singano

Familia ya Bibi Mary Singano wa Sahare Tanga, inapenda kumshukuru Mungu kwa baraka na rehema zake katika kipindi cha msiba wa Marehemu Lt. Col (Rtd) Maurice Noel Singano kilichotokea tarehe 31/05/2014 Chennai, India .  Tunawashukuru Wizara ya Afya kwa msaada Wakati wa ugonjwa ,tunatoa shukrani za kipekee kwa Mganga Mkuu wa Serikali Dr Donan Mmbando,Dr Goloka Muambata wa Tanzania nchini india na wote waliojitoa kuokoa maisha ya mpendwa wetu .  Tunamshukuru Dr. Jayashree ,Madaktari na wauguzi...

 

11 years ago

Bongo Movies

Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.

Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji  wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen

 

11 years ago

Dewji Blog

Msanii Bongo movies ‘Rachel Haule’ afariki dunia!

532

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

MOblog inaungana na Watanzania wote kuombeleza kifo cha...

 

11 years ago

GPL

MSTUKO: MSANII RACHEL HAULE WA BONGO MOVI AFARIKI DUNIA!

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es…

 

11 years ago

Michuzi

Msanii nyota wa filamu za Bongo movies Rachel Haule "Recho" afariki dunia

Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.  Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. Habari zilizothibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani