TAARIFA YA MSIBA KILUVYA GOGONI NA KIBOSHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-rhVRQbLeiIA/U1aiVw4PGgI/AAAAAAAFcVg/QsjfCoer9n0/s72-c/unnamed+(27).jpg)
Marehemu Mzee Aloyce Kirango
Familia ya Mzee Aloyce Kirango wa Gogoni, Kiluvya, Dar es salaam, inasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa kilichotokea tarehe 21 april 2014 asubuhi. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Gogoni Kiluvya. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa familia.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-78cA6FitBnM/VSpr6S2Nc5I/AAAAAAAHQqA/Db0j1TpifQE/s72-c/unnamed%2B(71).jpg)
Lt.Col PASCAL STEPHEN HAULE (Rtd) WA KILUVYA GOGONI AFARIKI DUNIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-78cA6FitBnM/VSpr6S2Nc5I/AAAAAAAHQqA/Db0j1TpifQE/s1600/unnamed%2B(71).jpg)
Bwana Ametoa Bwana Ametwa Jina la Bwana Lihimidiwe
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AzGFfH4FUF4/Uxs7XkD1j5I/AAAAAAAFSCg/tvp2U8RyTrA/s72-c/New+Picture+(12).png)
Taarifa ya Msiba
![](http://2.bp.blogspot.com/-AzGFfH4FUF4/Uxs7XkD1j5I/AAAAAAAFSCg/tvp2U8RyTrA/s1600/New+Picture+(12).png)
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake Morogoro siku ya Jumanne tarehe 11/3/2014. Marehemu ataagwa kesho Jumapili...
10 years ago
Michuzi23 Oct
TAARIFA YA MSIBA MINNESOTA
Familia ya ndugu Joel & Janeth Mburu inasikitika kuwataarifu juu ya msiba wa ghafla wa mama mzazi wa Janeth na Godson Gabagambi uliotokea leo hii asubuhi-Karagwe, nchini Tanzania.Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika huko Karagwe, Tanzania .
Kwa marekani, Msiba upo nyumbani kwa Ndugu Joel & Janeth Mburu, Minnesota na watu wanakutanika nyumbani hapo kuanzia leo kwa anwani ifuatayo:-5250 Villa WayEdina MN 55436.
Kwa Uingereza ,msiba upo kwa Peter Gabagambi ;61...
10 years ago
Vijimambo02 Nov
TAARIFA YA MSIBA DMV
Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio utamaduni wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Jaffari kumpoteza mpendwa mama yake.
Kwa yeyote anayetaka kutoa mkono wa pole anapatikana katika address hii 5701 UNION BRIDGET CT, BOWIE...
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Taarifa ya msiba Washington DC na Tanzania !
Bi Nyamiti Lusinde enzi za uhai wake
Mheshimiwa Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani, anasikitika kutangaza kifo cha Bi. Nyamiti Ivan Lusinde, aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington DC.
Bi. Nyamiti Ivan Lusinde alifariki dunia Jumanne tarehe 17 Novemba,
2015 Dar Es Salaam, Tanzania ambapo alikuwa likizo yake ya mwaka.
Kitabu cha rambirambi kipo nyumbani kwa marehemu 20408
Honey Crisp Lane, Apartment E...
11 years ago
MichuziTaarifa ya Msiba Philadelphia na New York
Marehemu Mama Kagaruki hakuwa mkazi wa Marekani. Kwa maana hiyo na kwa sababu msiba huu umetokea ghafla na kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu tunaomba tusaidiane ili tuweze kufanikisha shughuli za msiba huu ili aweze...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-QeQ76yvRbtA/VFpXEWXPDOI/AAAAAAADMcc/blaeEyeLVeA/s72-c/stambuli.jpg)
Taarifa ya msiba Tanzania na Massachusetts
![](http://3.bp.blogspot.com/-QeQ76yvRbtA/VFpXEWXPDOI/AAAAAAADMcc/blaeEyeLVeA/s1600/stambuli.jpg)
Familia ya Stambuli inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Idrissa Stambuli (32) kilichotokea Jumatatu tarehe 03/11/2014 huko Tanzania. Mazishi yatafanyika Jumatano tarehe 5/11/2014 baada ya salatul dhuhri huko Mbagala, Dar es salaam, Tanzania.
Kwa hapa Marekani msiba upo nyumbani 17 Walsh Street, Springfield, Massachusetts 01109.
Tutafanya kisomo cha kumuombea marehemu Jumamosi Novemba 8, 2014 kuanzia saa kumi jioni (4pm) mpaka saa Tatu usiku (9pm) katika Masjid Al Baqi 148 Fort...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s72-c/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Taarifa ya Msiba Tanzania na DMV
![](http://1.bp.blogspot.com/-bnCVzIzhjvE/U4b9Jk1UQ1I/AAAAAAACrXw/8DDw4iO6t8g/s1600/Mrs.+Aruken+G+Mushi.jpg)
Sarah Mushi wa Ashburn, VA anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Mrs. Aruken Geoffrey Mushi (pichani) kilichotokea Jumatano May 29, 2014. Msiba upo nyumbani kwa mfiwa: 20937 Killawog Terr, Ashburn, VA 20147.
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na: David Kisanga (703)932-0540.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Taarifa ya msiba Columbus, OHIO
Tunasikitika kuwapa taarifa ya msiba. Mwenyekiti wa jumuiya ya watanzania Columbus Deo Mwajulujwa Amefiwa na dada yake Angela Mchoropa. Dada Angela aliugua miezi michache iliyopita , Alipopata nafuu akaenda nyumbani Tanzania ambako Mauti yalimfikia. Kama mila Na desturi zeta kushirikiana na kumfariji mwenzetuKatia kipindi hiki kigumu. Anuani ya Deo ni hii ifuatayo:
1440 Sharon Green Columbus Ohio 43229 (614)378-8655
MWENYEZI MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI"
Uongozi