Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lugola aomba kuchangia amevaa ‘kininja’

Mbunge wa Mwibara (CCM), Kangi Lugola alimwomba ruhusa Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu avae ‘kininja’ ili asiwaonee aibu walioiba fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow wakati akichangia mjadala bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KANGI LUGOLA AOMBA KUVAA KININJA ILI ACHANGIE RIPOTI YA TEGETA ESCROW BUNGENI

MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo. Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi mkono vitendo viovu japo alikataliwa na...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AOMBA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUSAIDIA KUCHANGIA KATIKA KUENDELEZA ELIMU KWA WATOTO NA VIJANA WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALIBINO)

Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda akipokea vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35 kutoka kwa Meneja Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam.Picha na Chris...

 

9 years ago

Mtanzania

Majambazi yapora kininja Sinza

Pg 2 majambaziNa Waandishi Wetu

WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi  wakiwa wameficha nyuso zao huku wakiwa wamebeba silaha kali mkononi  jana walilisimamisha eneo la Sinza Kijiweni, jijini Dar es Salaam kwa takribani nusu saa baada ya kuvamia  gari lililokuwa limebeba pombe aina ya Banana na kupora Sh milioni 34.

Tukio hilo ambalo liliambatana na milio  ya risasi takribani sita zilizopigwa hewani lilitokea saa 5:30 mchana katika makutano ya barabara ya Shekilango na Tandale, Sinza Kijiweni.

Watu...

 

10 years ago

GPL

AUNTY EZEKIEL ANASWA KININJA KLINIKI

Imelda mtema
Mama kijacho ambaye ni msanii wa filamu, Aunt Ezekiel juzikati alinaswa akiwa  kliniki huku akiwa amevaa vazi la baibui ambalo linamuonesha macho tu, maarufu kama vazi la kininja. Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel akiwa amevaa vazi la baibui ambalo linamuonesha macho tu, maarufu kama vazi la kininja. Paparazi wetu akiwa kwenye majukumu yake, ghafla alimuona staa huyo ambaye ni wa kujifungua leo au kesho akiwa...

 

10 years ago

GPL

AIBU ILIYOJE: MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA

WAANDISHI WETU, MWANZA Aibu iliyoje! Tukio la aina yake limetokea maeneo ya Diluxe jijini hapa baada ya mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Faudhia almaarufu mama Baraka kumfumania mumewe akisaliti ndoa yao mbichi. Faudhia akihamaki baada ya kufumaniwa. Kwa mujibu wa mama Baraka, amekuwa akimfuatilia mumewe kwa muda mrefu baada ya kutonywa na wambeya kuwa baba mtoto wake huyo amekuwa akichepuka na...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA LIVE BILA CHENGA

MUME ATAKA KUKATA MSHIKO Mume huyo alipoulizwa juu ya tabia hiyo alikataa katakata kuongea na kuwambia makamanda wa OFM kuwa hayo mambo anaomba yaishie hapohapo kisha kuzama kwenye waleti na kutoa fedha.Hata hivyo, makamanda wetu walizikataa na kuendelea kufanya kazi yao kwa mujibu wa kiapo chao cha kutopokea hongo wala rushwa hivyo waliondoka eneo hilo wakimwacha mama Baraka akipambana na mumewe huku binti akiachiwa aende zake.Mdada akihamaki baada ya kufumaniwa.
Kwa mujibu wa mama Baraka,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola amfyatua JK

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), amemshambulia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais Jakaya Kikwete, kuwa chama kitafia mikononi mwake. Lugola, alisema kitendo cha Rais Kikwete kukataa kuwaondoa madarakani mawaziri...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE: ALIYENIPA MZIGO WA 'UNGA' ALIVAA KININJA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua. Masogange amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa 'unga', alivaa kama huyu. Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vyetu makini katika kikosi kazi cha kuzuia na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lugola aweka rehani ubunge

MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), ameuweka rehani ubunge wake kwa kutishia kujiuzulu endapo Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Titus Kamani ataonyesha fedha alizotenga kwa ajili ya ruzuku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani