Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUIZA: NIKIONDOKA TWANGA NITASHUKA HESHIMA

Stori: Imelda Mtema
KIONGOZI wa Bendi ya The African Stars, ‘Twanga wa Pepeta’, Luiza Mbutu, amesema akiihama bendi yake hiyo atajishushia heshima yake aliyoijenga siku nyingi hivyo hathubutu. Kiongozi wa Bendi ya The African Stars, ‘Twanga wa Pepeta’, Luiza Mbutu. Luiza alitoa kauli hiyo alipoulizwa na paparazi wetu kama ana mpango wowote wa kubadilisha ‘upepo’. “Nimetengeneza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Luiza Mbutu Mkongwe anayezeekea Twanga

LuizaMbutuLuiza Nyoni Mbutu

Stori: MAYASA MARIWATA

LUIZA Nyoni Mbutu ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi, ambaye haikuwa kazi rahisi mpaka kufika hapo alipo kutokana na changamoto mbalimbali alizopitia.

AMEANZIA MBALI
Akizunguzia safari yake ya kimuziki, Luiza ambaye ni mzaliwa wa Jiji la Dar, alisema alijikita rasmi kwenye shughuli hizo mnamo mwaka 1996 katika Bendi ya Air Jaz ambayo ni ya Jeshi la Anga kwa ushawishi mkubwa wa dada ambaye naye alikuwa mwanamuziki, Modesta Nyoni yeye...

 

11 years ago

GPL

LUIZA MBUTU AFIKIRIA KUIKACHA TWANGA

MUIMBAJI mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu amesema kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika dunia ya sasa, anafikiria kuachana na bendi hiyo na kuwa mama wa nyumbani tu. Mwimbaji mahiri na Kiongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Luiza Nyoni Mbutu Akizungumza na Amani juzi jijini Dar, Luiza alisema imefika mahali anawaza kuwa mama wa nyumbani...

 

10 years ago

GPL

ONYESHO LA KUMPONGEZA LUIZA MBUTU KUTIMIZA MIAKA 16 NDANI YA TWANGA PEPETA LAFANA MANGO GARDEN JIJINI DAR

Rapa wa bendi hiyo, Frank Kabatano akifanya vitu vyake stejini. Waziri akimmwagia sifa Luiza Mbutu. Baadhi ya wageni waalikwa wakiserebuka.…

 

10 years ago

GPL

MC AMKERA WAZIRI SHEREHE YA LUIZA

Na Issa Mnally/Mchanganyiko MSHEHERESHAJI wa onyesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza mwimbaji kiongozi Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 ya kuifanyia kazi mfululizo bila kuhama, Sakina Lyoka, Jumamosi iliyopita alimkera mgeni rasmi, Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Fenela Mkangara baada ya kukosea kutamka vizuri cheo chake. Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Fenela...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga kunogesha Miss Mzizima

BENDI ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta ‘Kisima cha Burudani’ inatarajiwa kusindikiza shindano la kumsaka Miss Mzizima 2014 linalotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Quality Centre jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twanga kukonga mashabiki Bills leo

BENDI ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imejinasibu kutamba na kukonga nyoyo za mashabiki wao katika onesho lao la Usiku wa Mwafrika ‘African Nite’ linalorindima kila Jumatano...

 

10 years ago

Michuzi

Twanga kuwatambulisha Choki, Nyamwela Da’ West

Bendi ya African Stars maarufu kama Twanga Pepeta Ijumaa Juni 12 itafanya onyesho maalum la kumtambulisha mwanamuziki maarufu nchini Ali Choki na wengine waliorejea kwenye bendi hiyo.
Onyesho hilo litafanyika usiku katika ukumbi wa Da West Park, Tabata.Mratibu wa onyesho hilo Joseph Kapinga wa Keen Arts na Bob Entertainment amesema kuwa onyesho hilo pia litakuwa ni la vunja jungu kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kapinga alisema pia Choki atatumia onyesho hilo kutambulisha nyimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani