Lukuvi aishukia Ukawa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amewashukia wajumbe wa Kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliogomea kuendelea na mchakato wa kutengeneza Katiba, akisema wanapanga kuivuruga nchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii04 Aug
Ukawa wawatia kiwewe Wassira, Mwigulu, Lukuvi
11 years ago
Mtanzania04 Aug
Lukuvi: Lissu legeza ‘kamzizi’ Ukawa warudi bungeni
![Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge, William Lukuvi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/William-Lukuvi.jpg)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge, William Lukuvi
Gabriel Mushi na Aziza Masoud
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge, William Lukuvi, amesema anayekwamisha mjadala wa Katiba Mpya ni mmoja wa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Tundu Lissu.
Amesema kwamba, kama Lissu ataamua kubadili msimamo uwezekano wa Ukawa kushiriki Bunge Maalumu la Katiba ni mkubwa kwa vile ana uwezo mkubwa wa kushawishi, kujieleza na kujenga hoja.
Kutokana na...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Lembeli aishukia serikali
SERIKALI imetakiwa kutoa maelezo ya kina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira juu ya kubadilishwa kinyemela mipaka ya Hifadhi ya Arusha (ANAPA), hatua iliyochangia wananchi...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Dk. Nchimbi aishukia Duwasa
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi, ametoa wiki moja kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Dodoma (Duwasa), kung’oa mara moja mifumo ya maji isiyotakiwa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Dk. Chegeni aishukia kampuni ya madini
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Dk. Raphael Chegeni, ameitaka kampuni ya uchimbaji madini katika mgodi wa Ngasamo wilayani Busega, Simiyu kufuata sheria za nchi kwa kuwalipa fidia...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Mkono aishukia serikali mauaji ya wanawake
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ameishutumu serikali kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya mauaji ya kikatili wanayofanyiwa wanawake katika baadhi ya vijiji vya Tarafa ya Nyanja huku akisema serikali imekuwa...
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
MO aishukia CCM ukarabati uwanja wa Namfua
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.
Na Hillary Shoo, Singida
Mbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mohammed Dewji ameulalamikia uongozi wa Chama chake Mkoa wa Singida kwa kitendo cha kuchelewesha mchakato wa kumalizia ujenzi wa Uwanja wa michezo Namfua ikiwa ni moja ya ahadi zake alizotoa kwa wananchi wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Kuchelewa huko kuanza kwa mchakato wa ukarabati na...
9 years ago
Mwananchi28 Oct
Lipumba aishukia ZEC kufuta uchaguzi Zanzibar
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Bomu Arusha: Lema aishukia Kamati ya Bunge