LULU AJIITA DEMU FEKI
![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0GbHouINxPXfL-W9GDkoexq-oLPqOfFWtincBl9T7fb2dCAxkjI7bfeYM4jxC8F3eMrvnPqva1eyK6qVIYZITF1P/YUI.gif?width=650)
Imelda mtema Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Jul
Lulu:Mini ni Demu Feki na Tapeli
Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni.
Akizungumza na mtandao wa udakuspecially.com, Lulu amesema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu wanataka kujua kwa nini yeye ni feki na ana tabia za kitapeli wasubiri kujua kwa nini ameamua kujiita hivyo.
“Kama mtu anataka kujua ufeki wangu anisikilizie maana kuna kitu nimefanya...
10 years ago
Dewji Blog11 Jul
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Muuaji ajiita shujaa Colorado
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Bruce Jenner sasa ajiita Caytlin
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcrjXI*vJZf-Pfv-v7dFzjGMWf1dWYQeGfXV0c1M-AkgP380GFSqURNvMRCJh1f9r6lKQKpiEVrg5bBx7J3Zphbo/MKALIMANISAUZI1.jpg)
MKALIMANI IBADA YA MANDELA AOMBA RADHI, AJIITA BINGWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hist607QABydkvwa*imv8lmCNxE20Zlg4DxM*bHlyyBbo2LLMFpWNqOJTohUFw*v*q8SbmVYDwIVjFHIHpjAFYa/wema.jpg?width=650)
WEMA AZUA TIMBWILI GLOBAL, AJIITA YEYE NI CHIZI KULIKO MACHIZI WOOTE!
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...