Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu:Mini ni Demu Feki na Tapeli

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni.

Akizungumza na mtandao wa udakuspecially.com, Lulu amesema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu wanataka kujua kwa nini yeye ni feki na ana tabia za kitapeli wasubiri kujua kwa nini ameamua kujiita hivyo.

“Kama mtu anataka kujua ufeki wangu anisikilizie maana kuna kitu nimefanya...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LULU AJIITA DEMU FEKI

Imelda mtema
Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amedai kwamba yeye ni ‘demu feki’ tena mwenye tabia za kitapeli huku kauli yake hiyo ikiacha baadhi ya watu midomo wazi na kutaka kujua kulikoni. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Lulu alisema kuwa ni kweli yeye ni demu feki lakini kama watu...

 

11 years ago

Michuzi

MZUNGU TAPELI ANASWA NA MAHERA KIBAO FEKI HAPA BONGO

  Kamanda Suleiman Kova  JAN ELOFF AKITOLEWA  NJE YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM JAN ELOFF AKIHOJIWA NDANI YA CHUMBA MAALUM KILICHOPO NDANI YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
Yule mzungu aliyekuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kutuhuma za kuwatapeli wananchi kwa Euro Feki hatimae amekamtwa akijaribu kununua gari kwa pesa hizo feki. Habari za uhakika zilizotua mezani zilisema mzungu huyo ambae ni Raia wa South Africa...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Uhuru Newspaper

Tapeli latiwa mbaroni Mbeya


Innocent Ng’oko, Mbeya
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Nchini, wamemtia mbaroni mmiliki wa Kampuni ya KEAR Computer Training, Uttu Kingwande, kwa tuhuma za utapeli.
Kingwande anadaiwa  kuwatapeli wanafunzi lukuki waliokuwa wakipata mafunzo ya kompyuta katika kituo chake alichokuwa amekifungua katika Shule ya Sekondari ya Mbeya.
Inadaiwa kuwa kituo hicho hakikuwa kimesajiliwa na hivyo alikuwa akijipatia pesa kiujacha ujanja.
Mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa kwa zaidi ya miezi mitatu sasa, ambapo...

 

9 years ago

Habarileo

Polisi wamtia mbaroni tapeli wa wastaafu

POLISI mkoani hapa kwa kushirikiana na Mfuko wa pensheni wa LAPF wamemtia mbaroni na kumfikisha mahakamani David Makali maarufu Peter Mabula kwa tuhuma za kuibia wastaafu kwa njia ya mtandao katika mikoa mbalimbali.

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUWA TAPELI WA AJIRA ANASWA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
YAHAYA unaishi wapi? Jamaa mmoja anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter amenaswa kwa kujipatia pesa kiudanganyifu akijifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo wa Chuo cha Ardhi kilichopo jijini Dar. Tapeli anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter. Tukio hilo lilitokea  Septemba 19 mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Kimara baada ya tapeli huyo kumlaghai dada mmoja...

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW

Stori: Mwandishi Wetu
Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Singa singa ambaye ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tapeli lililojidai Kishoka wa Tanesco ladakwa Live Mlimani City

10500539_819006161445574_7780628803053090260_n

Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City.

Na Mwandishi wetu

TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama.

Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo, alidai kuwa  tapeli huyo alifika asubuhi  akiwa na wenzake sita, ...

 

11 years ago

GPL

TAPELI LILILOJIDAI MFANYAKAZI WA TANESCO LADAKWA LIVE MLIMANI CITY!

Pichani juu na chini ni Kishoka wa Tanesco aliyekamatwa Mlimani City. Na Mwandishi wetu TAPELI lililokubuhu kwa masuala ya kulaghai watu kwa njia ya kujifanya kishoka washirika la Umeme Nchini, Tanesco, jana asubuhi limedakwa baada ya kuwekewa mtego walipokuwa wakitaka kutapeli kwa mmoja wa Afisa wa Habari wa Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC) Bi. Usia Nkhoma- Ledama. Kwa mujibu wa Bi. Usia akieleza tukio hilo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani