Polisi wamtia mbaroni tapeli wa wastaafu
POLISI mkoani hapa kwa kushirikiana na Mfuko wa pensheni wa LAPF wamemtia mbaroni na kumfikisha mahakamani David Makali maarufu Peter Mabula kwa tuhuma za kuibia wastaafu kwa njia ya mtandao katika mikoa mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
Tapeli latiwa mbaroni Mbeya
Innocent Ng’oko, Mbeya
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Nchini, wamemtia mbaroni mmiliki wa Kampuni ya KEAR Computer Training, Uttu Kingwande, kwa tuhuma za utapeli.
Kingwande anadaiwa kuwatapeli wanafunzi lukuki waliokuwa wakipata mafunzo ya kompyuta katika kituo chake alichokuwa amekifungua katika Shule ya Sekondari ya Mbeya.
Inadaiwa kuwa kituo hicho hakikuwa kimesajiliwa na hivyo alikuwa akijipatia pesa kiujacha ujanja.
Mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa kwa zaidi ya miezi mitatu sasa, ambapo...
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Anayedaiwa kuwatapeli wastaafu atiwa mbaroni
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YKSaFWhs-tg/XlULsUkAdrI/AAAAAAALfRE/mD6Kno4ay-MyqClZevaVx0iD6TdLkDh4gCLcBGAsYHQ/s72-c/b4b28911-be6c-41bc-aeb0-38e0cc1f3f29.jpg)
WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...
10 years ago
Mwananchi10 Aug
Askari polisi wastaafu Kilimanjaro wasotea malipo miaka mitano
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s72-c/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
BREAKING NEWZZZZ: JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAKAMATA BUNDUKI SABA ZILIZOPORWA KITUO CHA POLISI BUKOMBE, WATU WAWILI MBARONI NA MSAKO MKALI UNAENDELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-jQ6EO_Nz47o/VAyexLTS8-I/AAAAAAAGhNs/Vq-7Y2WmPaA/s1600/8dcacabf33f6098a97598c1329d203b0.jpg)
11 years ago
Habarileo28 Jun
Mbaroni akituhumiwa kuua Polisi
MAKACHERO wa Jeshi la Polisi Zanzibar, wamefanikiwa kumkamatammoja wa watuhumiwa hatari wa mauaji ya askari Poli-si mmoja na askari mgambo katika kituo cha polisi Kimanzichana Mkuranga Mkoani Pwani.
11 years ago
GPLPOLISI FEKI WATIWA MBARONI
10 years ago
Habarileo25 Apr
20 mbaroni kwa kumpiga askari polisi
WATU 20 wamekamatwa na Polisi baada ya kumjeruhi askari aliyekuwa doria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo alisema watu hao 20 wanatuhumiwa kumpiga na kitu butu kichwani Askari Polisi mwenye namba F 3328 Cpl Ramadhani akiwa kwenye doria na mwenzake.
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Polisi: Tutawatia mbaroni walioua askari
Asifiwe George na Juma Hezron (TSJ), Dar es Salaam,
JESHI la Polisi limesema linaendelea na msako mkali wa kuwabaini watu wanaodaiwa kuhusika na tukio la kuuawa kwa askari polisi wawili wilayani Rufiji.
Watu hao wanaodaiwa kuwa majambazi, walivamia Kituo cha Polisi Ikwiriri ambapo waliua askari wawili na kuiba silaha.
Akizungumza na MTANZANIA, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja, alisema pamoja na kuendelea na kazi hiyo, lakini kwa sasa hawezi kuzungumza kwa undani tukio hilo...