Lutwaza, Mwigizaji Anaefanana na Marehemu Kanumba Asema Atasimama Mwenye!
Philemon Lutwaza ‘Lutwaza’ mwigizaji anayefanana nyota wa filamu Bongo marehemu Steven Kanumba ameshuka kwa kusema kuwa anashukru kwa wadau wa filamu kumpokea katika tasnia ya filamu kama msanii anayefanya vema, anataka kusimama mwenyewe.
“Tasnia ya filamu Bongo ili huweze kufaidika na kuwakilisha mawazo yako lazima uwe mtayarishaji, ukibaki kama mwigizaji tu unakwama, nimejipanga kusimama mwenye natoka na filamu yangu ya Anko Kiepe,”anasema Lutwaza.
Lutwaza ametamba kwa kusema kuwa filamu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Lutwaza, Mwigizaji Anaefanana na Marehemu Kanumba Asema Atasimama Mwenyewe!
Philemon Lutwaza ‘Lutwaza’ mwigizaji anayefanana nyota wa filamu Bongo marehemu Steven Kanumba ameshuka kwa kusema kuwa anashukru kwa wadau wa filamu kumpokea katika tasnia ya filamu kama msanii anayefanya vema, anataka kusimama mwenyewe.
“Tasnia ya filamu Bongo ili huweze kufaidika na kuwakilisha mawazo yako lazima uwe mtayarishaji, ukibaki kama mwigizaji tu unakwama, nimejipanga kusimama mwenye natoka na filamu yangu ya Anko Kiepe,”anasema Lutwaza.
Lutwaza ametamba kwa kusema kuwa filamu...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Maneno ya Chopamchopanga Kuhusu Marehemu Kanumba Yaleta Majonzi
Leo Asubuhi kupita ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies Juma Chikoka “Chopa Mchopanga” ambae amewahi kufanya kazi kwa karibu na marehmu Steven Kanumba toka enzi wakiwa Kaole, ameonyesha hisia zake za kumkumbuka sana Kanumba kitendo ambacho kimewafanya washabiki wengi nao kuonyesha kukuswa na andiko hilo nakupelekea komenti nyingi za majonzi kutawala kwenye post hiyo.
Chapa aliandika haya mara baadaya kuweka picha ya Kanumba;
“Too soon.. too young.. very talented Steven Kanumba.....
10 years ago
CloudsFM08 Jan
KITABU CHA MAISHA YA MAREHEMU KANUMBA KUZINDULIWA JUMAMOSI HII
![](http://api.ning.com/files/pCnj1SuHrlqHA2nNkMVSRje-apyaqTEC9Ij3vYkjBjYYXgnC05fDBl4EQjrwy93W4xnTOYXHRGfAVEIGVsTanwHa746yd7rj/mamakanumba.jpg)
10 years ago
MichuziBONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL
UZINDUZI wa kitabu cha msanii wa filamu hayati Steven Kanumba unatarajia kuandika historia kufuatia maandalizi yaliyopangwa anasema mratibu wa tamasha hilo Mohamed Mwikongi ‘Frank’ amesema kuwa kutakuwa na mambo muhimu sana kwa ajili ya kumuenzi msanii huyo ambaye aliitangaza Tanzania kimataifa.
“Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-faZa9nrytps/UxjleLouAuI/AAAAAAAFRl0/QjRtIwR2UkI/s72-c/New+Picture+(10).png)
KAMPUNI YA KUMUENZI MAREHEMU STEVIN KANUMBA KUZINDULIWA APRIL 7, 2014 JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-faZa9nrytps/UxjleLouAuI/AAAAAAAFRl0/QjRtIwR2UkI/s1600/New+Picture+(10).png)
Uzinduzi huo utaenda sambamba na maadhimisho ya miaka miwili tokea kufariki kwa marehemu Kanumba ambaye alifariki dunia Aprili 7.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mama mzazi wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa alisema kuwa wameamua kuanzisha taasisi hiyo ili kuendelea kumuenzi mtoto wake na kuendeleza...
11 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Rachel: Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina
Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje
Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s72-c/dec7.gif)
ROSE NDAUKA ASEMA BAADA YA KANUMBA KUFARIKI BONGO MOVIE HAKUNA COMPETITION
![](http://1.bp.blogspot.com/-V-eO-GzID3o/VSQcm9g64MI/AAAAAAAHPig/lQQMLGEQrHY/s1600/dec7.gif)