Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAJABU 7 MAZITO ALIYETILEWA VYUMA TUMBONI MUHIMBILI

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
KWELI ni maajabu! Yule mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili (MNH), Dar baada ya kufanyiwa upasuaji na kutolewa rundo la vyuma tumboni, maajabu saba yameibuka, Uwazi  linakupa zaidi. Tukio hilo la kihistoria lilitokea wiki iliyopita  ambapo mgonjwa huyo alifikishwa Muhimbili akitokea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka

HANDAKI
Chacha Makenge.

NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge, amesababisha mapya kuibuka.

Wakizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, maofisa uhusiano wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi), Frank Matua na Patrick Mvungi kwa nyakati tofauti, walisema kuwa, mgonjwa huyo hakuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Tunda Man: Shoo bora ni za wanyanyua vyuma

TUNDANA RHOBI CHACHA
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’ amewaasa wasanii wenzake kufanya mazoezi kwa nguvu ili waweze kumudu maonyesho yao wawapo jukwaani.
“Wasanii wanatakiwa wafanye mazoezi yakiwemo‘push up’ na kunyanyua vitu vizito ili wajiweke sawa kiafya na kumudu shoo zao wawapo jukwaani,’’ alisema.
Tunda Man aliongeza kwamba wanaoshindwa kumudu jukwaani hawafanyi mazoezi ya kutosha na wanaofanya mazoezi hayo huwa na matokeo mazuri jukwaani.
“Hakuna...

 

5 years ago

Michuzi

NI WAJIBU WA MFANYABIASHARA WA VYUMA CHAKAVU KUFUATA SHERIA-SIMA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akizungumza na wafanyabiashara wa vyuma chakavu kutoka badhi ya mikoa (hawapo pichani) jijini Tanga. Wengine pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigela na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Thobias Mwilapwa.

…………………………………………………………………………..

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) amesema ni wajibu wa kila mfanyabiashara wa vyuma chakavu kufuata sheria ili kulinda miundombinu na kuepuka...

 

5 years ago

BBCSwahili

Wasp-76b: Sayari ya mbali ambapo 'mvua hunyesha ya vyuma'

Wataalamu wa anga za juu Mwezi Machi waligundua sayari ilio mbali ambapo huenda kuna mvua ya vyuma.

 

11 years ago

Habarileo

Daktari asahau kitambaa tumboni

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr Seif RashidMKAZI wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Mwamini Adamu ametolewa mfuko wa kizazi na kukatwa sehemu ya utumbo baada ya mganga wa idara ya upasuaji katika wilaya hiyo kusahau kitambaa tumboni kwa mwanamama huyo wakati akijifungua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msongo humwathiri mtoto tumboni

WIKI iliyopita tuliona jinsi ambavyo msongo wa mawazo unavyoweza kuathiri utungaji wa mimba. Kwa kuwa msongo wa mawazo una athari zaidi ya hiyo, nimeona ni vema kwa wiki hii, kabla...

 

10 years ago

Mwananchi

Juma Nature: Nyota aliyejisomesha kwa kuuza vitumbua, vyuma chakavu(4)

Wiki iliyopita Nature alielezea ujio wa kundi jipya la Wanaume Halisi baada ya kuvunjika kwa Kundi la Wanaume Family.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Prolife yahimiza uhai wa mtoto tumboni

SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu la Prolife limewataka Watanzania kuthamini uhai wa mtoto toka mimba inapotungwa ili kufuatana na misingi ya imani. Akizungumza baada ya ibada ya Krismasi, jijini...

 

10 years ago

CloudsFM

MWILI WA MAREHEMU WAZIKWA NA KUKU TUMBONI

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mwili wa Benadetha Steven (35), aliyefariki dunia juzi umefanyiwa matambiko ya kimila baada ya kupasuliwa na wembe ukiwa kaburini na kuingiziwa kuku ndani ya tumbo lake ikiwa ni ishara ya kuondoa mkosi. Tukio hilo lilitokea juzi katika Mtaa wa Mapinduzi wakati waombolezaji wakiwa hatua ya mwisho ya kumzika marehemu.
Lakini ghafla alijitokeza ndugu wa marehemu mwanamke kuwazuia waombolezaji, huku mwenyewe akiingia kaburini na kufungua sanduku na kuanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani