MAAJABU YA MWAKA DAR!
![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCDxDxMhrGgZS25zZc5LEuV8V6G*3o2lEs7wBUZoUNosOBSKFyQ6XRHhr*uy-k1L-fs5zv7MXOwzpQiMBaC4j9uG/BACKUWAZI.jpg?width=650)
Makongoro Oging’ na Deogratius Mongela HII kali! Mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Alice May John (55) ameilalamikia nyumba yake iliyopo Sinza ‘D’ (Madukani) wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam kwamba, ina mauzauza ya kutisha, hali inayowafanya wapangaji kuikimbia kila wakati kwa kuhofia maisha yao. Alice May John anayelalamikia nyumba yake iliyopo Sinza ‘D’ (Madukani) kuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2Maqbh7BpQV6XnmkzlF-3Rm9bd2lQS81vGIIuILFkj-6uwJILHcSkBf*PxvanikpGxDb4cqnavNI0jtaf4l92caHySO/Bella.jpg)
BELLA KUFANYA MAAJABU DAR LIVE
10 years ago
GPL06 Oct
PROFESA CALABASH AFANYA MAAJABU DAR LIVE
10 years ago
GPL25 Dec
DIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF: TUTAFANYA MAAJABU DAR LIVE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-sVa92OS-k94/VLFG_2SDazI/AAAAAAAG8gQ/YVFHKrwjKM8/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dM-T8w4-2tQ/VLFHAHztCMI/AAAAAAAG8gU/V1fA78CRfmY/s1600/unnamed%2B(34).jpg)
10 years ago
GPLMWAKA MPYA ULIVYOFUNIKA DAR LIVE
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wQPSMfdW7Pg/VCbcQejithI/AAAAAAAGmMM/BVrRxkfa6tc/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
MKUTANO WA MWAKA WA JET WAFANYIKA DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-wQPSMfdW7Pg/VCbcQejithI/AAAAAAAGmMM/BVrRxkfa6tc/s1600/unnamed%2B(13).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ep0zjTwOeNU/VCbcP11MwYI/AAAAAAAGmL8/7PxOUysI9IU/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-C-E0uQ1bkW8/VCbcQOen2ZI/AAAAAAAGmMA/fDKhxIGAd8Y/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Twanga Pepeta kufungua mwaka Dar Live
Na Mwandishi Wetu
BENDI kongwe ya muziki wa Dansi nchini, The African Stars International ‘Twanga Pepeta’ Januari 1 ambayo pia ni Sikukuu ya Mwaka Mpya, wanatarajiwa kufungua mwaka kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa siku zote ukumbi huo hauishi kwa burudani na safari hii katika Sikukuu ya Mwaka Mpya wamewaandalia bendi isiyoshikika Bongo ya Twanga Pepeta ambayo...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Bella kufunga mwaka na Koffi, Dar Live
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’.
Na Mwandishi Wetu
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kufunga mwaka (Desemba 31) na wimbo alioufanya na mkongwe wa muziki kutoka Kongo (DRC), Koffi Olomide uitwao Acha Kabisa, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu, Bella anayetamba na Wimbo wa Nashindwa alisema usiku huo mashabiki watafunga mwaka kwa kuimba na kucheza ngoma zake zote kali kama...