Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu Mwanza, Kamati kujadili Pasaka

 Pichani Kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd,Alex Msama alipokuwa akizungumza na Wanahabari hivi karibuni kuhusiana na muendelezo wa tamasha la Pasaka 2014.
MAASKOFU wa Makanisa mbalimbali jijini Mwanza asubuhi hiii wanakutana na Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kabla ya tamasha hilo linalotarajia kufanyika Mei 4 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo.
Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi hayo, Abihudi Mang’era mkutano huo utajadili mipangilio...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Zito kujadili wazi IPTL

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoHATIMAYE Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu utoaji wa zaidi ya Sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati Kuu Chadema yaitwa kujadili uchaguzi

Kamati Kuu ya Chadema, inatarajia kukutana kwa dharura kujadili uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu CCM kujadili vigogo Escrow

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape NnauyeIMEELEZWA kuwa, maamuzi yote ya kikao cha Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM kilichokutana juzi, kujadili masuala ya kimaadili kwa wanachama wake wanaotajwa kuhusika katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yatafikishwa katika Kamati Kuu ya Chama kwa hatua zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu Chadema kujadili Katiba, uchaguzi

SIKU chache baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuandika Katiba Inayopendekezwa, Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana kwa siku mbili kuanzia leo jijini Dar es Salaam kujadili pamoja na mambo mengine, mchakato wa mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

Kamati ya Bloggers Tanzania Yaanza Kujadili Rasimu

  Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa mitandao ya jamii Tanzania ya kujadili rasimu ya Katiba ya umoja huo Dar es Salaam leo. Majadiliano hayo yameanza jana kujadili rasimu ya katiba kabla ya kuipitisha kwa hatua za usajili wa Chama cha Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers).  Kushoto ni Mjumbe wa Kamati hiyo ya muda kutoka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati Kuu CCM kujadili migogoro ya ardhi Karagwe

TATIZO la migogoro ya ardhi, ukiwamo wa ranchi ya Kitengule, wilayani hapa, linatarajiwa kufikishwa katika Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kutafutiwa ufumbuzi.

 

11 years ago

Michuzi

Ngeleja mgeni rasmi tamasha la Pasaka jijini Mwanza

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Mei 4 Jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti  wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Abihudi Mang’era kamati imejipanga  kufanya tamasha la kishindo jijini humo kwa sababu maandalizi yake ni ya hali ya juu.
Mang’era alisema tamasha hilo litakuwa ni la aina yake ambako alitoa wito kwa wakazi wa Kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani