Mabadiliko lazima kwa Rungwe mpya — Mwaitenda
MWANDISHI WETU
“JIMBO la Rungwe Magharibi hakuna ‘wakuja wala wafyeka msitu’ kila mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ametoa mchango wa hali na mali kukijenga na kukitangaza chama hiki, hivyo mchango wa kila moja uheshimiwe.”
Ni kauli ya Ahobokile Mwaitenda (38), aliyetangaza kuwania ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya Chadema katika mahojiano na Raia Tanzania.
Mwaitenda alitoa kauli hiyo kutokana na makala iliyowahi kuandikwa na gazeti dada ya hili...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Kingunge: Mabadiliko lazima
NA FREDY AZZAH, ARUSHA
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, jana kwa mara ya kwanza alipanda jukwaani kumnadi mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na kusema mabadiliko ni lazima.
Kingunge aliyasema hayo jijini Arusha kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Sinoni.
Kingunge alihutubia huku mvua ikinyesha, lakini wananchi waliokuwa eneo hilo hawakuondoka.
“Historia yangu, nimeshiriki katika kuleta mabadiliko na...
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Tunataka tusitake mabadiliko ni lazima
ASILIMIA kubwa ya Watanzania na hasa vijana wa mijini na vijijini wanataka mabadiliko. Kwa vile mabadiliko ni ya aina nyingi, ni muhimu kusisitiza kwamba mjadala wetu umejikita zaidi kwenye mabadiliko...
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Mwandosya amuaga DCI Mwaitenda
Na Ibrahim Yassin, Kyela
ALIYEKUWA Waziri katika ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Profesa Mark Mwandosya ameongoza mamia ya wananchi wa Wilaya ya Kyela, wakati wa ibada ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Athur Mwaitenda (79) aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi kwa ugonjwa wa kansa ya tezi dume.
Profesa Mwandosya aliitaka jamii nchini kuzisaidia familia za wafiwa pindi wazazi au walezi wao wanapofariki ili kujenga misingi ya upendo unaompendeza...
11 years ago
Habarileo19 Apr
Kinana: Katiba mpya ni lazima
LICHA ya ‘madudu’ yanayofanywa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Katibu Mkuu CCM, Abdulrahman Kinana, amewataka Watanzania kuwa watulivu akisema ni lazima Katiba mpya itapatikana, huku akisisitiza watambue kuwa Katiba hiyo si mwarobaini wa matatizo yaliyopo sasa hapa nchini.
10 years ago
VijimamboHALMASHAURI YA wILAYA YA rUNGWE YAJIPANGA KUMALIZA UJENZI WA MAABARA KWA WAKATI.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Crispin Meela akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa saruji na Silingbodi zenye thamani ya shilingi Milioni 4.7 kwa ajili ya ujenzi wa maabara Wilayani Rungwe.
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe akipokea msaada wa Mifuko 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya State Grid Company Limited, Mhandisi Andrew Mwaipaja wanaoshughulikia mradi wa umeme vijijini(REA).
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe akipokea msaada wa Siling bodi kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya State Grid Company...
9 years ago
Habarileo06 Sep
Bilal ahimiza utayari mkataba mpya mabadiliko tabia nchi
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amezitaka nchi za Afrika kuwa tayari kwa makubaliano mapya yatakayowezesha kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wenye ulemavu bado wanahitaji mabadiliko rasimu ya Katiba mpya
HIVI karibuni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aliwakabidhi rasimu ya pili ya Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Warioba: Mabadiliko bila maadili kwenye Katiba Mpya kazi bure
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fVv8FZ-DjeQ/VVHmhTUETbI/AAAAAAAHW0k/iJTKmYhhWMc/s72-c/unnamed%2B(46).jpg)
Waziri Mwandosya atembelea Mradi wa nyumba 13 za kisasa kwa ajili ya Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo,Rungwe Mashariki
![](http://4.bp.blogspot.com/-fVv8FZ-DjeQ/VVHmhTUETbI/AAAAAAAHW0k/iJTKmYhhWMc/s640/unnamed%2B(46).jpg)