Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabingwa Uhai Cup kuzuru Maramba

MABINGWA wa Kombe la Uhai ambalo hushirikisha wachezaji wanaotumikia vikosi vya pili kwenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara, Coastal Union U-20, kesho wanatarajiwa kufanya ziara ya kimichezo Tarafa ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

TFF yahaha kusaka wadhamini Uhai Cup

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi amesema yupo kwenye mazungumzo na wadhamini ili kufanikisha mashindano ya Uhai Cup yanayoshirikisha timu za vijana chini ya miaka 20.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI

SERIKALI imetolea ufafanuzi wa kauli iliyotolewa na  baadhi ya Wananchi  wanaodai kuwa Wizara ya Maliasili na Utalii imekuwa ikithamini uhai wa wanyamapori kuliko uhai wa binadamu.
 Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema  uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai  wa wanyamapori 
Amesema licha ya  kuwa  binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...

 

11 years ago

Michuzi

MUCOBA FC MABINGWA MUUNGANO CUP

 Kikosi cha Mucoba Fc kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa fainali na Mbaspo Academy na kufanikiwa kunyakua kikombe cha Muungano katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Igowole.   Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo akimkabidhi kikombe cha ubingwa nahodha wa timu ya Mucoba Fc Emanuel Sabinus baada ya kuwafunga Mbaspo academy kwa mikwaju ya penati 7-5 katika mchezo uliochezwa uwanja wa shule ya msingi Igowole wilayani Mufindi.  Nahodha wa timu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkwaja FC mabingwa wapya Mwidau CUP 2014

Na Mwandishi Wetu,Pangani  Timu ya soka ya Mkwaja FC imetwaa ubingwa wa kombe la Mwidau CUP mwaka 2014 baada ya kuifunga timu ya soka ya Kiman’ga kwa mabao 4-2 katika mtanange uliopigwa kwenye Uwanja wa Mwera wilayani Pangani.  Mchezo huo ambao ulikuwa ni wakuvutanikuvute katika kipindi cha kwanza lakini timu ya Kiman’ga ilionyesha kuzidiwa uwezo kwa kuweza kuruhusu mvua ya magoli katika dakika za awali toka mpira kuanza. Mchezaji wa Mkwaja FC Masoud Ticha ndio alionekana kinara katika...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAMALIZIKA,TIMU YA KIBOSHO KINDI YAIBUKA MABINGWA

Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema)akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015. 
Meza kuu wakifurahi mara baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga cha mwisho ambapo timu ya Kibosho Kindi iliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1.
Mchezo ukiendelea.
Mashabiki wa timu ya soka ya Kibosho Kindi wakifurahia ushindi huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MICHUANO YA MBATIA CUP 2015 SASA YAMALIZA HATUA YA KWANZA YA KUPATA MABINGWA WA KATA.


Kikosi kamili cha timu ya Wazalendo kabla ya mchezo wa fainali. 
Kikosi kamili cha Himo fc kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali . 
Katibu Mwenezi wa chama cha NCCR -Mageuzi ,Stanley Temba akiwa ameongozana na katibu wa Vijana wa chama hicho katika jimbo la Vunjo Danieleson Shayo wakisalimiana na wachezaji wa timu zote mbili kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali. 
Waamuzi wa mchezo huo,Kabwe Korona,Beda Lyimo na Nassib wakizungumza na manahodha wa timu hizo. 
Benchi la ufundi la timu ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Temeke mabingwa wa Proin Women Taifa Cup mara baada ya kuifunga Pwani katika fainali

Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia Tamati leo kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani. IMG_1261 Waziri wa habari utamaduni na Michezo, Mh Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi kombe nahodha wa timu ya Temeke mara baada ya kuibuka washindi wa Mashindano ya Proin Women Taifa Cup ambayo yalichezwa katika Dimba la Azam huku Proin...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Xi Jinping kuzuru Zimbabwe

Waziri mkuu wa China Xi Jinping anatarajiwa kuzuru taifa Zimbabwe hii leo Jumanne ambapo atafanya mkutano na rais Robert Mugabe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani