MACHIFU 120, MRISHO MPOTO NA WEMA SEPETU KUNOGESHA TAMASHA LA MTU KWAO ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-2maaMQaugg0/U3N9nt5d3EI/AAAAAAAAMXA/yom1ehlujFg/s72-c/IMG-20140514-WA0015.jpg)
Na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha Zaidi ya machifu 100 kutoka katika mikoa mbalimbali hapa nchini wanatarajia kushiriki katika tamasha la "Mtu Kwao" linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi May 15 hadi 20 mwaka huu katika kiwanja cha kumbu ya sheikh Amri Abeid jijini hapa. Akiongea na waandishi wa habari jijini hapa Mratibu wa tamasha hilo ambaye ni mkurenzi wa kampuni ya Utamaduni Traning L.T.D Janeth Jonas alisema kuwa tamasha hilo litashirikisha machifu 120 kutoka katika mikoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 May
Tamasha la “Mtu kwao” laanza kurindima jijini Arusha
![tamasha](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/tamasha.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mNB1bRc-Zj8/U3UitDHSxbI/AAAAAAAFh-E/tUNTs-gz0P8/s72-c/unnamed+(88).jpg)
Tamasha la kitamaduni la "Mtu kwao" laanza leo jijini Arusha
![](http://1.bp.blogspot.com/-mNB1bRc-Zj8/U3UitDHSxbI/AAAAAAAFh-E/tUNTs-gz0P8/s1600/unnamed+(88).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VSGtpZrqhFc/U3UitdW5WaI/AAAAAAAFh-A/GiuwhA77jeU/s1600/unnamed+(89).jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.
Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...
10 years ago
Michuzi15 May
SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI ARUSHA
![pichaaaaa](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/c-B6msrivUEb5b3hExkqxlqCzHrFyIgOU3BUUQK8CY2zZf3wNZTLsBh1gFa3FCAzmRQftWI7thr8bsmfxC6uzIsHx6sWWBqjkRaX7q8XyCi4soCbuqtAW1WP=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/05/pichaaaaa.jpg?w=660)
Onyesho hilo limeandaliwa na kundi la marafiki hao wa Lowasaa chini ya umoja wao unaojulikana kama “4 U Movement” linataraji kufanyika katika ukumbi wa burudani wa Triple A uliopo jijini Arusha...
10 years ago
Bongo Movies29 Jun
Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba
Ishu ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.
Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.
Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye...
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz..Matusi Hayamjengi Mtu, Yanambomoa!
Kwa mashabiki wa Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Hawa wawili ni wasanii wetu wanaokubalika nchini, kila mmoja kwa namna yake na kila mmoja ana mashabiki wake. Waliwahi kuwa wapenzi lkn mambo hayakwenda kama mashabiki na wao walivyotaka wakaamua kwa amani kuachana. Lakini bado wanaheshimiana na hata familia zao zinaheshimiana. Na Wema Sepetu bado anamsapoti Diamond ni msanii wake wa kwanza nchini anayependa kazi zake.
Mpaka hapo, ukishaelewa hayo huwezi kupata ujasiri wa kuwatukana...
10 years ago
VijimamboWEMA SEPETU ''NIMEPAPENDA GHANA NA HII PICHA NI DEDICATION KWA MTU''
10 years ago
Bongo Movies03 Nov
Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...