Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la kitamaduni la "Mtu kwao" laanza leo jijini Arusha

 Chifu wa  kinadi  ambayo ipo katika wilaya ya Itilima  mkoani Simuyu  Wenceslaus Clement  akiwa anabadilishana mawazo na malagwanani wa kimasai katika siku ya kwanza ya tamasha la "Mtu kwao" laanza katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abein jijini Arusha leo Mkufunzi wa kabila la Wabarabaigi akiwaonyesha malegwanani wa Kimasai mishale ya sumu ambapo alisema kuwa mishale hiyo ina sumu kali ambayo imetengenezwa kutoka dawa za miti aina saba tofauti, na kwamba  ikikupiga tu hauwezi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Tamasha la “Mtu kwao” laanza kurindima jijini Arusha

tamasha  Mmoja wa wawadau wa utamaduni akiwa anawaonyesha malagwanani jinsi ya kutumia mishale.  wanafunzi wakiwa wanapewa mafunzo ya kutengeneza magari ya mabati  machifu wakibadilishana uzoefu na ukabila wao  malagwanani wa kimasai wakiwa katika picha ya pamoja  chifu wa  kinadi  ambayo ipo katika wilaya ya Itilima  mkoani Simuyu  Wenceslaus Clement  akiwa anabadilishana mawazo na malagwanani wa kimasai  Mkutunzi wa kabila la wabarabaigi akiwa anawaonyesha malegwanani wa kimasai...

 

11 years ago

Michuzi

MACHIFU 120, MRISHO MPOTO NA WEMA SEPETU KUNOGESHA TAMASHA LA MTU KWAO ARUSHA

Na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha Zaidi ya machifu 100 kutoka katika mikoa mbalimbali hapa nchini wanatarajia kushiriki  katika tamasha la "Mtu Kwao" linalotarajiwa kuanza kutimua vumbi May 15 hadi 20 mwaka huu katika kiwanja cha kumbu ya sheikh Amri Abeid jijini hapa.  Akiongea na waandishi wa habari jijini hapa Mratibu wa tamasha hilo ambaye ni mkurenzi wa kampuni ya Utamaduni Traning L.T.D Janeth Jonas alisema kuwa tamasha hilo litashirikisha machifu 120 kutoka katika mikoa...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehem ya wadau mbali mbali na wanchi walio fika katika  tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani leo katika viwanja vya Leaders Clubu jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Paul Makonda,  akizungumza na wananchi juu ya Serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha watoto njiti wanapata huduma stahiki katika mazingira rafiki ili waweze kuishi kama watoto wengine katika tamasha la kuelekea kumbukumbu ya siku ya mtoto njiti Duniani...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA‏

 Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents, Bw Tony Akwesa akitoa maelekezo kwa washiriki waliojitokeza kwaajili ya shindano la Tanzania Movie Talents kwa kanda ya Pwani unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar Es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo Kwa Kanda ya Pwani.
...

 

9 years ago

Michuzi

TASWA DAR HOI TAMASHA LA WAANDISHI JIJINI ARUSHA

 kikosi cha timu ya mchezo wa mpira wa pete ya Taswa Dar mara baada ya mechi kuisha. waandishi wahabari wa mkoa wa Arusha wakifurahia wakati tamasha likiendelea.
 Na Woinde shizza,ArushaTIMU  ya soka ya chuo cha uandishi wa habari   Arusha(AJTC) juzi walitwaa ubingwa katika bonanza la 10 vyombo vya habari mkoani Arusha huku Timu ya wanahabahari wa Dar es Salaam TASWA FC wakishindwa kutamba.

Katika Bonanza hilo, ambalo lilishirikisha jumla ya timu nane, TASWA FC) alishindwa kutamba na kushika...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA ARUSHA AZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI, KITAIFA JIJINI ARUSHA LEO.

Washiriki wa maonesho, wananchi mbalimbali wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyozinduliwa katika Kiwanja cha Mpira wa Amri Abeid jijini Arusha leo. Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mrongo aliyazindua maonesho hayo huku akiwataka madereva nchini wawe makini kwa kufuatia sheria za barabarani ili kuepuka ajali. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “Maamuzi yako Barabarani Hatma Yetu-Fikiri Kwanza”. Mgeni rasmi Mkuu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tamasha la filam laanza Senegal

Wasanii wa tasnia ya filamu kutoka nchi mbalimbali duniani wameanza kuwasili mji Dakar mkuu wa Senegal.

 

10 years ago

CloudsFM

Tamasha la chakula cha kiafrika kufanyika Jumapili hii jijini Arusha.

Tamasha la Chakula cha Kiafrika linatarajiwa kufanyika Jumapili hii jijini Arusha kwenye mgahawa wa Umbrella(Umbrella Garden and restaurant).

Akizungumzia tamasha hilo,Elihuruma Msengi alisema kuwa leo la kufanya tamasha la chakula cha Afrika ni kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa lishe na chakula cha kiafrika kwani magonjwa mengi yanatokana na vyakula vya viwandani na pia kudumisha upendo na amani kwa wananchi wa jiji la Arusha. Aidha ameongeza kuwa siku hiyo ya Jumapili itakuwa ni siku ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la vyakula vya asili lilivyofana Umbrella Garden jijini Arusha

mratibu sensa1

Mratibu wa Sensa mkoa wa Arusha Bi.Magreth Martin akizungumza na wadau pamoja na wakazi wa jiji la Arusha waliofika kwenye tamasha hilo.

*Wafanyabiashara watakiwa kuanzisha kituo cha utalii wa chakula cha asili

Na Mwandishi wetu, Tanzaniasasablog

WAFANYABIASHARA  wametakiwa kubuni mbinu mpya ya kutangaza sekta ya utalii nchini kwa kuanzisha vituo cha utalii wa vyakula vya asili ili kuvutia watalii wanaotembelea jiji la Arusha kujionea vyakula hivyo na hatimaye kupata mlo kamili wenye asili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani