MADAHA AKOMALIA NDOA NA MENEJA WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhmR4Yx33XMyeWO4Wct0At-deFiP9mhsDI1uBBer8enI5WCdpMIMPZrkgyQoDkFKLrLFGn5tHMhq-ugI7lH7CDUA/madaha3.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi kwake. Baby Madaha akiwa na meneja wake Joe Kariuki. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha ‘Queen of Swaga’ alisema kutokana na uhusiano wake na Joe kuelekea kwenye ndoa, mara nyingi amekuwa akila bata zake nchini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5Yj7BgkVQvmtF7fiJAp3tbip*PWFNMgoUIcWWNqKuAPvq6TlWVfUAHN1HUA5n8ZHzwQLgbZExeoN0dcK3bCJHCzr/baby.jpg?width=650)
BABY MADAHA, MENEJA’KE NDOA NOVEMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BY6VWIVrp23vUsYQkWG-avdNbM4rml4kZvOheAfyP8aZXiqCVY79V1R2Py3gDaeJHb8vyxSLlePT0mmFFdP-16muMWnOJd-w/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA AMWAGANA NA MENEJA WAKE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-1vLwRrZYY9y-v0Viwmt6dgHWVzbgLoGCPnHceY2qdUvSauq5TLHj*yHH*3c-wt8JuVO4PNH3W5-XOLDaO7gcVZ/baby.jpg?width=650)
BABY MADAHA AKOLEZWA NA PENZI LA MENEJA WAKE
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Usher afunga ndoa na meneja wake
NEW YORK, MAREKANI
MKALI wa RnB nchini Marekani, Usher Raymond, amefanikiwa kufunga ndoa na mpenzi wake, Grace Miguel.
Grace ni Meneja wa msanii huyo, ambapo walianza uhusiano wa kimapenzi tangu mwaka 2009 baada ya msanii huyu kubwagana na mpenzi wake, Tameka Foster, mwaka huo.
Tameka alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume na msanii huyo ambao wanajulikana kwa majina ya Usher V na Naviyd Ely.
“Alikuwa meneja wangu kwa kipindi kirefu, lakini kwa sasa naweza kusema kuwa ni mke wangu,...
9 years ago
Bongo528 Sep
Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel
9 years ago
Bongo504 Nov
Picha: J’odie (mwimbaji wa Kuchi Kuchi) afunga ndoa na meneja wake
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/David-Jodie-WEDDaily001-300x194.jpg)
Hit maker wa ‘Kuchi Kuchi (oh Baby), J’odie kutoka Nigeria amefunga ndoa na meneja wake David Nnaji ambaye pia ni mwigizaji wa Nollywood.
Ndoa yao ya kimila ilifungwa weekend iliyopita Oct.31, na sherehe kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wana familia huko Nigeria.
J’odie ambaye jina lake halisi ni Joy Odiete alivishwa pete ya uchumba mwishoni mwa mwezi September na Nnaji, ambaye ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album yake ya kwanza ‘African Woman’ iliyotoka...
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Meneja Sauti Sol kufunga ndoa na mwanamitindo
MWANAMITINDO mwenye jina kubwa nchini Kenya, Annabel Onyango na meneja wa kundi la muziki la Sauti Sol, Marek Fuchs, wanataraji kufunga ndoa ya kihistoria nchini hapo.
Kwa mujibu wa mtandao wa Kenyamoja, wachumba hao wa muda mrefu watafunga ndoa hiyo Septemba 19 na sherehe itafanyika katika hoteli ya Great Rift Valley tofauti na inavyofikiriwa kufanyika mjini ama kijijini kwao.
Wakati wote wa maandalizi ya harusi yao hiyo wapenzi hao wameweka kila kitu chao kitakachotokea kwa kila siku hadi...
11 years ago
GPLMENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Emirates yamtambulisha Meneja wake mpya wa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-l72_oSwiq7Q/VgqbRgiupgI/AAAAAAABeBQ/o-DVv8ffd38/s640/IMG_0322%2B00.jpg)
Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
![](http://2.bp.blogspot.com/-N273KPAJgLg/VgqbSBdIJOI/AAAAAAABeBY/jE610qFbaaA/s640/IMG_0323%2B01.jpg)
Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (kushoto), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam jana.
![](http://1.bp.blogspot.com/-SCuOSU4bBmo/VgqbSIcFO3I/AAAAAAABeBU/Vuf6xH4ju1c/s640/IMG_0370%2B02.jpg)
Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi...