Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADAHA: NAOTA NAFANYA MAPENZI KILA SIKU

Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha. Na Gladness Mallya/Ijumaa
IMEVUJA! Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku. Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake aliliambia Ijumaa kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Nyepesi Nyepesi: Naota Nafanya Mapenzi Kila Siku-Madaha

Hii Sasa Kalii: Mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.

Awali rafiki wa Madaha aliyeomba jina lake lihifadhiwehifadhiwe alikiambia chanzo cha habari hii kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.

“Mwenyewe...

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA MAPENZI NI HOBI YANGU

Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha. Stori: Gladness Mallya
MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani. Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!

Bila kumwogopa Mungu, hatuwezi kupiga hatua kama taifa. Tunaambiwa kwamba kumwogopa Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa na mafanikio. Ingawa Taifa letu halina dini, lakini watu wake wote wanamwamini Mwenyezi Mungu

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

10 years ago

GPL

BABY MADAHA SITUMII KINGA HATA SIKU MOJA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja. Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha  Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine...

 

10 years ago

GPL

KILA MMOJA AKIJIFANYA MJUAJI, KUNA MAPENZI?

BILA shaka mpenzi msomaji wa safu hii uko vizuri. Ni wiki nyingine tunakutana katika uwanja wetu maridhawa kuweza kujinasibu na kupeana mawilimatatu yahusuyo maisha ya mahusiano.Kama mada inavyojieleza hapo juu, nimepokea kesi nyingi sana za watu tofauti wakiomba ushauri kwamba wanashindwa kudumu katika mapenzi kutokana na mwenzake kujifanya anajua kila kitu. Anataka kusikilizwa kwa kila kitu, anajua kuhusu maisha, mapenzi, tabia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani