Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madaktari Temeke lawamani

MADAKTARI wa Hospitali za Zakhem na Temeke za wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam, wamelalamikiwa kutoa majibu ya uongo kwa mtoto anayedaiwa kubakwa na kijana ambaye hajafahamika hadi sasa. Tuhuma...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Makundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke

Usili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke.
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.


Mratibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndugu Sophia Mjema akilakiwa na Dkt. Martha Kisanga, Meneja wa Kanda ya Pwani wa Shirika la Engender Health mara baada ya kuwasili kwenye eneo la Shule ya Sekondari Kibasila kwa ajili ya kufunga rasmi mafunzo ya siku 5 yaliyohusu mradi wa kuzuia mimba za utotoni katika Shule za Sekondari katika Wilaya ya Temeke tarehe 17.4.2015. Waliosimama katikati ni Ndugu Donald Siliva, Afisa-Elimu Sekondari, Wilaya ya Temeke na Dkt. Sarah Maongezi, Mkurugenzi wa Afya kutoka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara lawamani

JEURI ya waandaaji wa Tamasha la Fiesta kukaidi amri ya Mahakama na kumpandisha jukwaani msanii maarufu wa nchini Nigeria, David Adedeji ‘Davido’ ilitokana na nguvu ya Wizara yenye dhamana na...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali lawamani

Jakaya Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

WANANCHI walio wengi wameonekana kuwa na imani ndogo na maofisa wa Serikali za Mitaa na Vijiji katika kushughulikia masuala yao.

Pia sekta ya maji na umeme ni miongoni mwa taasisi rasmi za serikali ambazo wananchi hawana imani nazo.

Kwamba wananchi wanaona taasisi hizo zinawarudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu zimeshindwa kutatua kero zinazowakabili.

Kutokana na hali hiyo, hawaoni kama wanao uwezo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji Bagamoyo lawamani

KUPORWA kipande cha ardhi ya mwekezaji, Ester Shayo, wilayani Bagamoyo, Pwani kumesababishwa na baadhi ya watendaji wa Kijiji cha Bago kutozingatia sheria na badala yake kuendekeza ubaguzi. Akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Tibaijuka lawamani

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, anadaiwa kuingilia uamuzi wa Mahakama Kuu ya Ardhi Kanda ya Tabora. Mahakama hiyo katika uamuzi wa kesi namba 13/2013...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jehi la Indonesia lawamani

Kikundi cha kutetea haki za binaadamu nchini Indonesia,kimetaka majeshi ya nchi hiyo kuacha tabia ya kuchunguza bikira jeshini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri Namtumbo lawamani

HALMASHAURI ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, imelalamikiwa kukithiri kwa urasimu na vitendo vya rushwa katika kitengo cha zabuni na manunuzi ukilinganisha na Wilaya nyingine mkoani hapa. Malalamiko hayo yalitolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani