MADALALI WA KORTI WAKAMATA BASI LA TFF
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi03 Apr
NHC: Kuweni makini na madalali
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limewatahadharisha wananchi kujiepusha na watu wanaojifanya madalali katika utoaji wa nyumba zake mpya.
11 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wataka madalali wa mazao wadhibitiwe
SERIKALI imetakiwa kuwadhibiti madalali wa mazao ya shambani kwa kuwa ni maadui wanaosababisha kudidimiza kipato cha wakulima. Ushauri huo umetolewa na mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kisua...
10 years ago
Habarileo22 Apr
CCM yakaripia viongozi madalali
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka viongozi wake walioanza kuwatembeza watu wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu, kuacha mara moja kwa kuwa wanakiuka kanuni za viongozi na maadili.
10 years ago
Mwananchi09 Mar
Hatuhitaji madalali uchwara katika soka
Mmoja wa madalali bora wa soka duniani Jorge Mendes, akihojiwa na kituo cha habari cha BBC aliwahi kunena kuwa watu hawajui lolote kuhusu udalali wa soka na ndiyo maana hubaki kuwashutumu tu.
10 years ago
Bongo528 Sep
Tanzania hakuna management kuna madalali — AT
Mwimbaji wa muziki wa mduara AT amesema wakati yupo chini ya management alikuwa haoni faida ya muziki wake. Akizungumza na Story Tatu ndani ya kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, AT amesema Tanzania hakuna mameneja wa muziki bali kuna madalali. “Tanzania hakuna management kuna madalali tu,” alisema. “Wakati nasimamiwa nilikuwa sioni faida ya muziki […]
10 years ago
Mwananchi06 Jul
UWAKALA : Madalali watibua usajili Bongo
Yanga ipo kwenye mzozo na Kimondo FC baada ya kumsajili Geofrey Mwashiuya, huku Simba inavutana na mshambuliaji wake Ramadhani Singano ‘Messi’ na vurugu za aina hii zimekuwa ni kawaida hapa nchini kila wakati wa usajili.
10 years ago
Vijimambo28 Nov
Lamudi Tanzania kutangaza huduma za madalali bure

10 years ago
Mwananchi01 Oct
Wizara ya ardhi yaandaa sheria kuwabana madalali
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema imeanza mchakato wa kutengeneza muswada wa Sheria ya mawakala wa ardhi ili kuwabana madalali wa ardhi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
10-May-2025 in Tanzania