Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADENTI HAWAWEZI KAMA MATICHA ‘MIZINGUO’

NIAJE maanko, mko poa?
Mimi nipo vizuri, kwa sababu safari hii Pasaka ilikuwa bomba sana, nilishinda nyumbani na familia yangu.
Ni matumaini yangu pia kwamba hata nyinyi mliimaliza vizuri kabisa sikukuu hii ya kumbukumbu ya kifo cha Yesu Kristo na kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine walikumbwa na masaibu yoyote, nachukua nafasi hii kuwapa pole na kuwatakia afya njema. Tukirejea kwenye mada yetu ya leo, mara nyingi sana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MADENTI, HAWA MATICHA TUNAWAENDEKEZA WENYEWE

NIANZE kwa kuwapa pole sana maanko kutokana na kifo cha shujaa wa Afrika, mzee Nelson Mandela, aliyefariki akiwa nyumbani kwake, jijini Johannesburg , Afrika Kusini, usiku wa Desemba 5 mwaka huu. Ni msiba mzito, siyo tu kwa watu wa taifa hilo, bali dunia nzima. Kila mtu anaguswa na Mandela, siyo kwa sababu alikaa jela miaka 27 na baadaye kutoka na kuja kuwa Rais, bali kile alichokifanya. Unajua nini anko? Mandela alipofungwa, kwa...

 

11 years ago

GPL

KUMBE MADENTI WENGINE ‘WANAJILENGESHA’ KWA MATICHA

KWA takribani wiki tatu sasa tumekuwa tukijadili kuhusu tabia ya baadhi ya walimu kujihusisha kimapenzi na wanafunzi, hasa wa kiume. Nashukuru kwamba nimepata mrejesho mzuri kutoka kwenu. Lakini kuna mwalimu mmoja msomaji mzuri wa safu hii, yeye ni msichana anayefanya kazi mikoani. Alinitumia ujumbe mmoja ambao ulinivutia sana, nikabadilishana naye maneno mawili matatu na kujikuta nimepata kitu ambacho ni lazima tushirikiane pia...

 

9 years ago

Bongo5

Hizi taarifa nazichukulia tu kama uvumi naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo — Roma

Licha ya BASATA kutoa maelezo ya jinsi ambavyo wanaweza kuufungia wimbo wa msanii kwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari pasipo kumwandikia msanii barua yoyote (Ingia hapa), Roma bado anaamini kuwa Baraza hilo la sanaa halijaufungia wimbo wake. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa anaamini BASATA wanasapoti kazi zake hivyo taarifa […]

 

10 years ago

Mtanzania

Lema: CCM hawawezi kuning’oa Arusha

Godbless LemaNA JANETH MUSHI, ARUSHA

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), amesema hajaona mgombea ubunge mwenye uwezo wa kupambana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo, amewataka wananchi wa jimbo hilo wajiandikishe kwa wingi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani.

Lema aliyasema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
“Hali ya usalama na kisiasa Arusha ni nzuri, CCM hawapo Arusha. Kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni mambo ambayo watu waliofanikiwa hawawezi kukuambia kazini

Huwezi kujenga mtandao imara wa kitaaluma kama hauko wazi kwa wanataaluma wenzako lakini unatakiwa kufanya hivyo kwa umakini mkubwa. Katika suala la kuwa muwazi inabidi kukumbuka kuwa vitu vingine ukiwa muwazi vinaleta madhara kwenye taaluma yako na kazi yako pia; Unapoongelea maisha yako kwa ujumla inakubidi uwake sanaa ya kimaongezi. Kama kuna kitu ambacho unajua […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hawawezi kuwa upande wa wananchi na mafisadi kwa wakati mmoja

KUNA msemo usemao kwamba huwezi kuila keki yako halafu ukabakiwa nayo. Mtu mwenye keki ana uamuzi mmoja kati ya miwili. Uile keki yako nayo itoweke, au usiile ubakiwe nayo. Lakini...

 

10 years ago

GPL

YES, WAKO MADENTI WANAJIUZA!

MAANKO, mnaendeleaje na masomo? Najua leo ni wikiendi nyingine baada ya kumaliza wiki nzima ya masomo. Wale wadogo wa msingi najua kaka na dada zao wameshafanya mitihani na wale wa sekondari ndiyo wako katika maandalizi ya mitihani ya mwisho wa mwaka. Mtakumbuka wiki iliyopita tulijadili juu ya tabia ya baadhi ya wanafunzi, hasa wa kiume ambao huleta vurugu zisizo na maana katika mabasi ya daladala, kama vile lugha chafu kwa...

 

10 years ago

GPL

MADENTI NA VURUGU ZA MAKONDA

Habari za leo wapendwa. Ninaamini mnaendelea vizuri kabisa na masomo yenu kuelekea mwisho wa mwaka, ambao una mambo mengi kwelikweli. Mimi nasonga kama kawaida, siku zinaenda na sasa namba zinabadilika. Mtakumbuka wiki jana tulijadili hapa jinsi gani baadhi yetu tulibadili tabia kutokana na kupenda kujihusisha na mambo ya disco wakati tukiwa shule, ambako tulikutana na vishawishi vilivyosababisha wengi wetu kujikuta tuki-copy na...

 

11 years ago

GPL

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?

NIMEWAHI kukaa zaidi ya miezi sita bila kufika mjini. Wenye jiji lao wanakuambia Dar es Salaam mjini ni maeneo ya Posta, kule kwenye mitaa ya Ohio, Indira Ghandi, Samora, Sokoine, Zanaki, Azikiwe, Magogoni, Garden, Maktaba na kadhalika. Eti ukisema unaenda au ulikuwa mjini, basi mjanja anajua ndiyo kule, lakini vinginevyo sema nipo au nakwenda Mwenge, Magomeni, Kariakoo, Ilala, Temeke, Ubungo, Kigogo, Kigamboni, Kinondoni, Kawe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani