Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADENTI WALIWA MIGUU NA MAMBA

Stori: Igenga Mtatiro, TARIME
WANAFUNZI wawili wa shule za msingi za Nyabisara (Murito) na Kerende Kata ya Kemambo wilayani Tarime, Mara wameumwa hadi kuondolewa nyama zao za miguu na mamba walipokwenda kuoga maji ya mto kwa nyakatitofauti. Penina Joseph Mangure akiwa na jeraha mguuni alilojeruhiwa na Mamba. Wanafunzi hao ni Penina Joseph Mangure  (11) wa darasa la nne Shule ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Watoto waliwa na fisi, wafa

Bahi. Watoto wawili wenye umri wa kati ya miaka miwili na mitano wameuawa na fisi katika Kijiji cha Mnkola, Kata ya Ibihwa wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma katika matukio mawili tofauti.

 

10 years ago

GPL

YES, WAKO MADENTI WANAJIUZA!

MAANKO, mnaendeleaje na masomo? Najua leo ni wikiendi nyingine baada ya kumaliza wiki nzima ya masomo. Wale wadogo wa msingi najua kaka na dada zao wameshafanya mitihani na wale wa sekondari ndiyo wako katika maandalizi ya mitihani ya mwisho wa mwaka. Mtakumbuka wiki iliyopita tulijadili juu ya tabia ya baadhi ya wanafunzi, hasa wa kiume ambao huleta vurugu zisizo na maana katika mabasi ya daladala, kama vile lugha chafu kwa...

 

10 years ago

GPL

MADENTI NA VURUGU ZA MAKONDA

Habari za leo wapendwa. Ninaamini mnaendelea vizuri kabisa na masomo yenu kuelekea mwisho wa mwaka, ambao una mambo mengi kwelikweli. Mimi nasonga kama kawaida, siku zinaenda na sasa namba zinabadilika. Mtakumbuka wiki jana tulijadili hapa jinsi gani baadhi yetu tulibadili tabia kutokana na kupenda kujihusisha na mambo ya disco wakati tukiwa shule, ambako tulikutana na vishawishi vilivyosababisha wengi wetu kujikuta tuki-copy na...

 

11 years ago

GPL

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?-2

Wiki iliyopita, niliweka mada ambayo niliwaomba wasomaji wote wenye nafasi kuchangia maoni yao juu ya kipi hasa kinachosababisha kuwepo kwa wingi kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya wanafunzi (wa msingi, sekondari na vyuo) na watu wazima, ambao tayari ama wana uhusiano na wenza wao ambao siyo wanafunzi, au wameoa kabisa. Ni jambo la kushukuru kwamba wadau wengi walijitokeza na kutoa maoni yao juu ya chanzo cha tatizo hili. Kila...

 

11 years ago

GPL

TATIZO NI MADENTI AU WATU WAZIMA?

NIMEWAHI kukaa zaidi ya miezi sita bila kufika mjini. Wenye jiji lao wanakuambia Dar es Salaam mjini ni maeneo ya Posta, kule kwenye mitaa ya Ohio, Indira Ghandi, Samora, Sokoine, Zanaki, Azikiwe, Magogoni, Garden, Maktaba na kadhalika. Eti ukisema unaenda au ulikuwa mjini, basi mjanja anajua ndiyo kule, lakini vinginevyo sema nipo au nakwenda Mwenge, Magomeni, Kariakoo, Ilala, Temeke, Ubungo, Kigogo, Kigamboni, Kinondoni, Kawe,...

 

11 years ago

GPL

MADENTI, PICHA ZA UTUPU ZA NINI?

Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili linaposomwa. Hawa jamaa ni wadau wangu wakubwa sana, hasa katika kubadilishana mawazo inapobidi. Juzi nilikuwa naperuziperuzi kwenye mtandao, mara nikakutana na picha za aibu zilizopigwa na msichana ambaye ametambulishwa kama ni mwanafunzi, haikuelezwa kama ni denti wa sekondari au vyuo, lakini kwa uzoefu,...

 

10 years ago

GPL

MADENTI MNAZICHAPA KUGOMBEA MADEMU!

NIANZE kwa kuwasalimu wanafunzi wote, wa zamani na wa sasa, hasa wakati huu ambao ninafahamu wengi wenu mtakuwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki. Ingawa kuwa watu kama mimi anko wenu, siku kama leo tunaendelea kuchapa kazi tu, hatuna wikiendi wala sikukuu. Ndiyo maana wakati nyinyi mkiwa mnafurahia sikukuu, bado siku hizo mnasikiliza redio, mnasoma magazeti na kuangalia televisheni. Wiki jana tulikutana hapa na kujadili jinsi...

 

11 years ago

GPL

TAMAA, UTANDAWAZI UNAWAUMIZA MADENTI

HABARI za tokea wiki iliyopita. Ni matumaini yangu kwamba wanafunzi mnaendelea vizuri na masomo na wasomaji wengine wa safu hii Mwenyezi Mungu anawabariki ili mambo yetu yaende sawa sawa. Hili ni kama hitimisho la mada yetu, ile tuliyojadili kuhusu chanzo hasa cha watu wazima kujihusisha kimapenzi na watoto wa shule, hasa wa sekondari na vyuo. Kama ilivyotokea wiki iliyopita, idadi ya wadau waliowasiliana na mimi ilikuwa kubwa na...

 

10 years ago

GPL

MADENTI MSINGI WAJIUZA SH.2000

DUSTAN SHEKIDELE, MORO
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Farao! Kumekuwa na madai ya baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi mjini hapa kujiuza kwa waendesha bodaboda kwa gharama ya shilingi elfu mbili tu. Mwanafunzi anayedaiwa kujiuza kwa waendesha Bodaboda. Kufuatia madai hayo, mwandishi wa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ mjini hapa alifanyia kazi madai hayo na kufanikiwa kumnasa Ally Shabani (34) ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani