Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madhehebu yenye imani zilizopitiliza yafutwe

Habari zilizotawala katika vyombo vya habari juzi ni kuwapo kwa kanisa wilayani Kakonko, mkoani Kigoma linaloitwa ‘Sabato Matengenezo’. Kanisa hilo lilianzishwa na watu sita, ambao tunaambiwa hivi sasa wamo mikononi mwa polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

AG ahofia madhehebu ya dini kuigawa nchi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George MasajuVIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini, wamesisitiziwa kutoyatumia vibaya majukwaa yao ya kiimani kwa kazi za kisiasa, ikielezwa kuwa, kufanya hivyo wanaweza kujikuta wakiingiza nchi katika machafuko yasiyotarajiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Madhehebu zaidi ya Kikristo yarekebisha ibada Oktoba 25

Wakati siku ya kupiga kura ikikaribia, madhehebu zaidi yametangaza kubadili muda wa ibada ili kuruhusu waumini wao kushiriki kikamilifu kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 25.

 

10 years ago

GPL

WAISLAMU WA MADHEHEBU YA SHIA WAFANYA MAANDAMANO LEO

Imam wa Masjidi Ghadir, Hemed Jalala, akihutubia waumini (hawako pichani)
Baadhi ya waumini wakisikiliza jambo. Sehemu ya bango la maadhimisho hayo.…

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA ATOA VIDEO YENYE MANENO YENYE UTATA, ANGALIA VIDEO HAPA


Gwajima Akiwa kwenye Kitu cha Wagonjwa Anaonekana Kwenye Video Akitoa Maneno yenye utata kumsema mtu kwa Mafumbo ..embu angalia hapa chini kwenye Video:

 

10 years ago

Michuzi

BAN KI MOON AWAGEUKIA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI DUNIANI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban  Ki Moon akiwa na  Viongozi wa Madhehebu  mbalimbali ya Dini mara baada ya  viongozi hao wa dini kuzungumza katika mkutano wa ngazi ya juu uliojadili  pamoja na mambo mengi kuongezeka kwa vurugu zitokanazo na itikadi kali za kidini na ukereketwa wa kupindukia na  nini kifanyike kukabiliana na  changamoto hiyo. katika picha hii yupo pia Rais wa Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutessa ambaye ndiye aliyandaa mkutano huo.Na  Mwandishi Maalum, New...

 

11 years ago

Mwananchi

Madhehebu ya dini yasadie malezi bora kwa watoto

Taifa lenye maadili ni lile lililojikita katika misingi imara ya uadilifu ambayo inajengwa kuanzia ngazi ya familia, kijiji/mtaa, wilaya, mkoa na taifa.

 

5 years ago

Michuzi

IGP SIRRO AONYA VIONGOZI WA MADHEHEBU YA DINI KUTOJIHUSISHA NA SIASA


Mkuu wa jeshi la polisi nchini Simon Sirro akisoma jiwe la msingi aliloweka ikiwa ni ujenzi wa makazi ya Askari wa jeshi hilo kwenye eneo la FFU kata ya Muriet jijini Arusha pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na mbele yao ni Balozi wa heshima wa Serikali ya Dubai Fouad Martis wakifuatilia tukio hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Sirro kulia akiwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo katikati na pembeni mwenye suti ya Bluu ni Balozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA-TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA MADHEHEBU YOTE NCHINI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zuberi Bin Ally (kulia) wakati aliposhiriki katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A.W. , Mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam, Februari 16, 2020. Wa pili kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Al Hadi Musa.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zuberi Bin Ally katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad S.A.W , Mtaa wa Indira...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AYAOMBA MADHEHEBU YOTE NCHINI KUIOMBEA AMANI TANZANIA

Mke wa Waziri Mkuu Tunu Pinda akiwahutubia waumini wakanisa katoliki Yombo Vituka wakati washerehe ya Kumkumbuka Bikira Maria iliyo andaliwa na umoja wa wanawake wakatoliki WAWATA Dekania ya Ukonga,Mama Pinda alitumia nafasi hiyo kuwaomba waTanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo kwani kuna nchi nyingine zinamatatizo hata hawawezi kupata nafasi ya kuhudhuria ibada kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.Mama Tunu Pinda akinunua sanamu ya mfano wa Bikira Maria ambayo ilikwa inauzwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani