Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani CCM washindwa kusoma kiapo

NA VICTOR BARIETY, GEITA

KATIKA hali ya kushangaza Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita juzi liligeuka kituko baada ya madiwani wanne kati ya 49 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kusoma kiapo kwa ufasaha.

Hali hiyo ilisababisha vicheko kutawala katika ukumbi wa halmashauri walimokuwa wanaapishwa madiwani hao.

Tukio hilo lilitokea saa 11:32 asubuhi muda mfupi baada ya mwenyekiti wa muda wa kikao hicho, Gaspar Kanyairita kufungua na hakimu mkazi, Joseph Wiliam kuanza zoezi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madiwani washindwa kuwabana wezi

TANI 35 za mahindi yaliyotolewa na serikali kukabili njaa wilayani Korogwe Vijijini, zinadaiwa kuibwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na kuuzwa jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

WANNE WASHINDWA KURUDISHA FOMU ZA URAIS CCM

Naibu katibu mkuu wa CCM Tanzania bara Rajab Luhavi
Hatimaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini,


Hatiamaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini, huku...

 

10 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?

Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CCM wasusa sherehe

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamesusia sherehe za chama hicho ngazi ya wilaya za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama. Sherehe hizo...

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI SHINYANGA WAREJEA CCM

 Kutoka kushoto ni Zakaria Martin Mfuko aliyekuwa Diwani wa Kata ya Masekelo(Chadema),na Kulia ni Sebastian Peter aliyekuwa diwani kata ya Ingokole(Chadema) wakitambulishwa mbele ya umati wa watu na Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye kwenye viwanja vya Mahakama ya mwanzo Shinyanga mjini ambao kwa moyo mmoja wamejiunga na CCM.

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani wazembe CCM kusimamishwa uanachama

Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rorya mkoani Mara, kimewaagiza madiwani wake kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo la sivyo watasimamishwa uanachama.

 

11 years ago

Mwananchi

Madiwani wawili Chadema wahamia CCM

Madiwani wawili wa Chadema kutoka Kata ya Ngokolo, Sebastian Peter na wa Kata ya Masekelo, Zacharia Mfuko zilizopo Shinyanga Mjini wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM.

 

10 years ago

Habarileo

Madiwani 10 Monduli watetea nafasi CCM

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.MADIWANI 10 kati ya 15 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata za wilaya ya Monduli mkoani Arusha, waliodaiwa kukihama chama hicho, wamechukua fomu za kutetea nafasi zao kwa tiketi ya CCM na kuzirejesha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani