MADIWANI SHINYANGA WAREJEA CCM
Kutoka kushoto ni Zakaria Martin Mfuko aliyekuwa Diwani wa Kata ya Masekelo(Chadema),na Kulia ni Sebastian Peter aliyekuwa diwani kata ya Ingokole(Chadema) wakitambulishwa mbele ya umati wa watu na Katibu wa NEC itikadi na uenezi Nape Nnauye kwenye viwanja vya Mahakama ya mwanzo Shinyanga mjini ambao kwa moyo mmoja wamejiunga na CCM.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Feb
Madiwani wajiuzulu Shinyanga
MTAJI wa viongozi wa Chadema mikoani umeendelea kuporomoka kutokana na mgogoro wa uongozi unaoendelea katika chama hicho, kuanza kukumba viongozi wa kuchaguliwa.
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Madiwani CCM wasusa sherehe
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamesusia sherehe za chama hicho ngazi ya wilaya za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama. Sherehe hizo...
11 years ago
Habarileo08 Apr
Lembeli aichefua CCM Shinyanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga kimeeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na mwanachama wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Kahama, James Lembeli kwamba CCM si mama yake.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Madiwani wawili Chadema wahamia CCM
11 years ago
Habarileo28 Feb
Madiwani waliohama Chadema waingia CCM
MADIWANI waliojiuzulu na kuamua kuondoka katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambao ni Sebastiani Peter na Zacharia Mfuko wamejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na uongozi wa mkoa wa chama hicho.
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Madiwani wazembe CCM kusimamishwa uanachama
10 years ago
Habarileo21 Jul
Madiwani 10 Monduli watetea nafasi CCM
MADIWANI 10 kati ya 15 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata za wilaya ya Monduli mkoani Arusha, waliodaiwa kukihama chama hicho, wamechukua fomu za kutetea nafasi zao kwa tiketi ya CCM na kuzirejesha.
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Madiwani CCM washindwa kusoma kiapo
NA VICTOR BARIETY, GEITA
KATIKA hali ya kushangaza Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita juzi liligeuka kituko baada ya madiwani wanne kati ya 49 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kusoma kiapo kwa ufasaha.
Hali hiyo ilisababisha vicheko kutawala katika ukumbi wa halmashauri walimokuwa wanaapishwa madiwani hao.
Tukio hilo lilitokea saa 11:32 asubuhi muda mfupi baada ya mwenyekiti wa muda wa kikao hicho, Gaspar Kanyairita kufungua na hakimu mkazi, Joseph Wiliam kuanza zoezi...