Madiwani washindwa kuwabana wezi
TANI 35 za mahindi yaliyotolewa na serikali kukabili njaa wilayani Korogwe Vijijini, zinadaiwa kuibwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na kuuzwa jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Madiwani CCM washindwa kusoma kiapo
NA VICTOR BARIETY, GEITA
KATIKA hali ya kushangaza Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita juzi liligeuka kituko baada ya madiwani wanne kati ya 49 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kusoma kiapo kwa ufasaha.
Hali hiyo ilisababisha vicheko kutawala katika ukumbi wa halmashauri walimokuwa wanaapishwa madiwani hao.
Tukio hilo lilitokea saa 11:32 asubuhi muda mfupi baada ya mwenyekiti wa muda wa kikao hicho, Gaspar Kanyairita kufungua na hakimu mkazi, Joseph Wiliam kuanza zoezi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NTL6YwuTxPY/Xq5hthSCdqI/AAAAAAALo34/Z7h4IXtg_A079_gKguJ7uwSfRkjw0hdqwCLcBGAsYHQ/s72-c/fa89287d-4c26-4bc2-8b04-3f05fda6f45f.jpg)
Baraza la madiwani Kalambo laazimia kuwafukuza kazi watendaji wezi
![](https://1.bp.blogspot.com/-NTL6YwuTxPY/Xq5hthSCdqI/AAAAAAALo34/Z7h4IXtg_A079_gKguJ7uwSfRkjw0hdqwCLcBGAsYHQ/s640/fa89287d-4c26-4bc2-8b04-3f05fda6f45f.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/4feb3652-d980-412c-a3d7-cd03d4a9c8ac.jpg)
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mh. Daudi Sichon
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/48d2e151-c65c-4aba-bca7-3785520b5200.jpg)
Baadhi yaWataalamu waliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani la Halmashauri kilichohusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali nchini.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/04694fcd-9165-4ae4-9e56-92a66a11ac96.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma
Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.
Na.Nathaniel Limu-Singida
WAZIRI wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
RC Ruvuma kuwabana wabadhirifu
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Sumatra kuwabana madereva wakorofi
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), inatarajia kuanza utaratibu wa kutoa vibali maalumu vitakavyolenga kumuwajibisha dereva au kondakta moja kwa moja badala ya mmiliki kama...
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
10 years ago
Habarileo09 Sep
Sumatra kuwabana wenye bodaboda
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imesema usajili wa pikipiki maarufu kama ‘bodaboda’ utafanywa pamoja na kukagua namba zenye rangi ya njano huku zikiwa zinafanyabiashara jambo ambalo ni kinyume.
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Tanesco kuwabana wawekezaji wababaishaji
WIZARA ya Nishati na Madini imesema itahakikisha haitoi mwanya kwa wawezezaji wababaishaji wanaotaka kuwekeza kwenye nishati ya umeme na kuwaingiza Watanzania kwenye mgawo wa umeme bila sababu. Katibu Mkuu wa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10