Madiwani wamtaka DC awaombe radhi
MADIWANI wawili wa Kata za Ikhanoda na Mwasauya katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Vijijini, wamemtaka Mkuu wa Wilaya ya Singida, Queen Mlozi kuwaomba radhi kwa kuwatia nguvuni kwa saa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 Dec
Slaa: JK awaombe radhi Watanzania
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Dr.Slaa-29Dec2014.jpg)
Kutokana na hilo alisema kuna uwezekano wa kuwapo kwa kashfa nyingine zaidi ya ile ya akaunti ya Tegeta Escrow katika eneo la Magereji, barabara ya kwenda Wazo Hill, jijini Dar es Salaam kwa madai ya mwekezaji kuwanyang’anya eneo la shughuli za ufundi wa magari wakazi wa Kata ya Wazo...
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Wamtaka Malope Pasaka
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Wabongo wamtaka Malope Agosti 3
MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando, amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya ‘Kamata Pindo la...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Wamtaka Tibaijuka kutatua mgogoro
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wanachama Simba wamtaka Kopunovic
NA BARAKA JAMALI, MTWARA
WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Asilimia 90 Rwanda wamtaka Kagame
10 years ago
BBCSwahili16 Aug
Upinzani wamtaka Nawaz Shariff kujiuzulu
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
Mashabiki wamtaka MO arudi kuidhamini Simba SC
Baada ya kualikwa kama mgeni rasmi katika tamasha la Simba Day lililofanyika siku ya jumamosi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, CEO wa MeTL Group, Mohammed Dewji amepost picha zake kupitia akaunti yake ya Instagram @moodewji ambazo zimekupa ‘likes’ nyingi na baadhi ya ‘comments’ mashabiki wa timu Simba SC wamemtaka arudi kuifadhili timu hiyo zifuatazo ni ‘Screenshot’ kutoka akaunti yake ya Instagram.
Na hizi hapa ni ‘screenshots’ za ‘comments’ za baadhi ya marafiki na mashabiki...