Madudu mapya jengo la Tafico
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imejenga uzio kwa ajili ya kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika la Uvuvi nchini (Tafico) ambalo hivi karibuni gazeti hili liliripoti kukaribia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Kashfa nzito Tafico
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeingia katika kashfa nzito ya kudaiwa kutafuna zaidi ya sh milioni 200 za kujenga ukuta wa kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Wapangaji jengo la Treni Mji Mkongwe watakiwa kuhama jengo hilo
Na Abdulla Ali, Maelezo-Zanzibar
Serikali haitoridhia kuwabakisha Wapangaji na Wafanyabiashara katika jengo la Treni ili kuepusha maafa na kuokoa maisha ya Wananchi na mali zao.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Mhe. Ramadhan Abdulla Shaaban wakati wa mkutano wa mzungumzo ya pamoja kati ya Wapangaji na Wafanyabiashara wanaolitumia jengo hilo na Serikali uliofanyika katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe iliopo...
10 years ago
Mtanzania07 Oct
Madudu ya Serikali
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UKAGUZI maalumu uliofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2014/15 umeibua ufisadi mkubwa katika wizara, idara, wakala za serikali, halmashauri, taasisi na mashirika ya umma.
Katika ukaguzi huo, Wizara ya Ujenzi imegundulika kuwa imefanya malipo hewa ya Sh milioni 951.7 yaliyolipwa kwa
makandarasi kwa kazi ambayo haikufanywa, huku Wizara ya Maliasili ikiwa na malipo hewa ya zaidi ya Sh milioni 156 kupitia Shirika la Hifadhi...
10 years ago
Mtanzania21 Jan
Madudu elimu ya msingi
Na Mariam Mkumbaru, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya wanafunzi 459 wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wanasoma katika darasa moja.
Hali hiyo ya wanafunzi kusoma katika darasa moja na wengine chini ya miti inayozunguka shule hiyo, inachangiwa na upungufu wa majengo ya shule hiyo ambayo ina vyumba saba vya madarasa huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 2,038.
Akizungumza na MTANZANIA ambayo ilifika shuleni...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Madudu ya Shule ya Msingi Kitarungu
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Chenge aibua madudu bajeti
MWENYEKITI wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge, ameibua madudu makubwa kwenye bajeti ya mwaka 2014/2015 ambapo amesema ina pengo la sh trilioni 4.9 sawa na asilimia 24. Chenge alisema bajeti...
11 years ago
Habarileo20 May
Madudu katika elimu yaendelea
WABUNGE wamesema hali ya elimu nchini ni mbaya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu ili kuangalia ubora na kudhibiti sekta hiyo muhimu.