Madudu ya Serikali
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
UKAGUZI maalumu uliofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2014/15 umeibua ufisadi mkubwa katika wizara, idara, wakala za serikali, halmashauri, taasisi na mashirika ya umma.
Katika ukaguzi huo, Wizara ya Ujenzi imegundulika kuwa imefanya malipo hewa ya Sh milioni 951.7 yaliyolipwa kwa
makandarasi kwa kazi ambayo haikufanywa, huku Wizara ya Maliasili ikiwa na malipo hewa ya zaidi ya Sh milioni 156 kupitia Shirika la Hifadhi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Serikali yajibebesha ‘madudu’ ya IPTL
DANADANA zinazopigwa na viongozi wakuu wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kutafuta ukweli wa sakata la uuzwaji wa hisa za kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Independent Power...
10 years ago
StarTV17 Dec
Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.
Na Mwandishi Maalum.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...
10 years ago
Mtanzania21 Jan
Madudu elimu ya msingi
Na Mariam Mkumbaru, Dar es Salaam
KATIKA hali isiyo ya kawaida, zaidi ya wanafunzi 459 wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Saku iliyopo Chamazi, Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wanasoma katika darasa moja.
Hali hiyo ya wanafunzi kusoma katika darasa moja na wengine chini ya miti inayozunguka shule hiyo, inachangiwa na upungufu wa majengo ya shule hiyo ambayo ina vyumba saba vya madarasa huku ikiwa na zaidi ya wanafunzi 2,038.
Akizungumza na MTANZANIA ambayo ilifika shuleni...
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Madudu zaidi meno ya tembo
11 years ago
Habarileo20 May
Madudu katika elimu yaendelea
WABUNGE wamesema hali ya elimu nchini ni mbaya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete, kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu ili kuangalia ubora na kudhibiti sekta hiyo muhimu.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Madudu ya Shule ya Msingi Kitarungu
10 years ago
Mwananchi22 Jun
Madudu yatikisa Bunge la Kumi
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Chenge aibua madudu bajeti
MWENYEKITI wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge, ameibua madudu makubwa kwenye bajeti ya mwaka 2014/2015 ambapo amesema ina pengo la sh trilioni 4.9 sawa na asilimia 24. Chenge alisema bajeti...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Madudu mapya jengo la Tafico
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imejenga uzio kwa ajili ya kuzuia kuanguka kwa jengo la lililokuwa Shirika la Uvuvi nchini (Tafico) ambalo hivi karibuni gazeti hili liliripoti kukaribia...