Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yajibebesha ‘madudu’ ya IPTL

DANADANA zinazopigwa na viongozi wakuu wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika kutafuta ukweli wa sakata la uuzwaji wa hisa za kampuni ya kuzalisha umeme wa dharura ya Independent Power...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Madudu ya Serikali

mtz1NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

UKAGUZI maalumu uliofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2014/15 umeibua ufisadi mkubwa katika wizara, idara, wakala za serikali, halmashauri, taasisi na mashirika ya umma.

Katika ukaguzi huo, Wizara ya Ujenzi imegundulika kuwa imefanya malipo hewa ya Sh milioni 951.7 yaliyolipwa kwa
makandarasi kwa kazi ambayo haikufanywa, huku Wizara ya Maliasili ikiwa na malipo hewa ya zaidi ya Sh milioni 156 kupitia Shirika la Hifadhi...

 

10 years ago

StarTV

Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.

Na Mwandishi Maalum.

Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.

Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utata wa Serikali kwa IPTL

WAKATI Harbinder Sing Sethi, anadai alinunua asilimia 70 ya hisa za Mechmar kwa kiasi cha sh. milioni 500 ($300,000) ndani ya wiki tatu tu tangu hisa hizo kuuzwa kwa kampuni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL yaipasua kichwa Serikali

WIKI moja baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, kutangaza operesheni ya nchi nzima ya kudai ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu sakata...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yabwaga manyanga IPTL

SERIKALI imebwaga manyanga kuhusu ripoti ya uchunguzi ya kashfa ya kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh bilioni 200, ambako sasa imeamua kuileta Bungeni. Ripoti hiyo inatarajiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Pinda: Kashfa IPTL imetia doa Serikali

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA ELIAS MSUYA, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imetiwa doa na kashfa ya IPTL ambapo zaidi ya Sh bilioni 200 zinadaiwa kuchotwa kwenye akaunti maalumu ya ‘Tegeta Escrow’, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Pinda ambaye yupo jijini London, Uingereza kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Afrika na wawekezaji wa Ulaya, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na Kituo cha Televisheni cha Shirika la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lipumba aonya serikali kuhusu IPTL, deni MSD

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka serikali kuacha mzaha wa kuchezea maisha ya watanzania katika upatikanaji wa mahitaji muhimu, ikiwa ni pamoja na dawa za tiba mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

10 years ago

Mwananchi

SAKATA LA IPTL: Mabalozi waitaka Serikali kuchukua hatua kali

>Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ufafanuzi wa sakata la uchotaji fedha kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu na kutangaza kuchukua hatua dhidi ya baadhi ya viongozi na watendaji, nchi wahisani wamesema bado suala hilo linawachanganya na wanasubiri tamko la Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani