Maelfu wamtakia JK afya njema
HALI ya afya ya Rais Jakaya Kikwete imeendelea kuimarika kwa kasi na jana alizungumza kwa simu na uongozi wa juu wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu afanyiwe upasuaji wa tezi dume Jumamosi iliyopita.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema
![IMG_20150320_171213](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/04/IMG_20150320_171213-e1428037954863.jpg)
Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu mtandao huu unaungana na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.
Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.
Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nx03ocxbc1U/XrVjLB0fSCI/AAAAAAALpfg/no6Ws3gz4uwOPydcdJU3ePRpvDbuvaIpwCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
MZEE ALI HASSAN MWINYI ATIMIZA MIAKA 95, WATANZANIA WAMUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUMPA AFYA NJEMA
LEO Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi anasherehekea siku yake ya luzaliwa kwa kufikisha umri wa miaka 95 akiwa mwenye afya njema.
Watanzania wa kada mbalimbali wamempongeza mzee Mwinyi kwa kufikisha umri huo huku wakiendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kumpa afya njema na maisha marefu.Mzee Mwinyi ambaye ameliongoza Taifa la Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Pili ameendelea kuwa Rais mwenye kupendwa na kukumbukwa na hasa...
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
10 years ago
MichuziWADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BESDEI KAMANDA WAO INNOCENT.
10 years ago
GPLWADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BETHDAY KAMANDA WAO INNOCENT
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/eid.jpg)
SIKUKUU NJEMA
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Kwaresma njema
WAKRISTO wote ulimwenguni jana walianza mfungo wa siku 40 wa Kwaresma, ambao huwapa waumini muda wa kufanya tafakuri na kutubu dhambi zao. Tunaandika tahariri hii si kwa nia ya kuhubiri,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2PuS3Ib8L8ZXBsnSXGuooCpuHL3dDxVHGrjLPy79Z7JbtIChqihilIm-VllvxRU7U1eouvq1q1h*HpoRxSbU7jC/eastersundaygreetings_1396652099.jpg?width=750)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/A-kNk9n6amY/default.jpg)