Maelfu wamuaga Celine Kombani
Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal jana aliongoza mamia ya waombolezaji waliofurika kwenye viwanja vya Karimjee kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-dk3079bPpCc/VgWcEG4QVZI/AAAAAAAH7Mc/cew110LglNk/s72-c/tt.png)
RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA WAZIRI CELINE OMPESHI KOMBANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-dk3079bPpCc/VgWcEG4QVZI/AAAAAAAH7Mc/cew110LglNk/s640/tt.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za Rambirambi Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Kayanza Pinda, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mheshimiwa Celine Ompeshi Kombani.“Pokea rambirambi zangu za dhati, sote kwa pamoja tumepoteza mama mchapakazi, hodari na aliyependa kushirikiana na wenzake katika kazi zake, hakika tutamkumbuka siku zote” Rais Amesema.Rais Pia...
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Maelfu wamuaga shujaa wa Afrika Mandela
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-jB1Fs2MecWk/Xt8ZbO2qdSI/AAAAAAAAVRY/oRyDPQYZyFoii2KCbqwBNLQTAUvAjbvfwCLcBGAsYHQ/s72-c/53738375_303.jpg)
MAELFU WAMUAGA GEORGE FLOYD KABLA YA MAZISHI YAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-jB1Fs2MecWk/Xt8ZbO2qdSI/AAAAAAAAVRY/oRyDPQYZyFoii2KCbqwBNLQTAUvAjbvfwCLcBGAsYHQ/s640/53738375_303.jpg)
George Floyd, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi, atazikwa leo mjini Houston
George Floyd, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi, atazikwa leo mjini Houston, ambako alikulia.
Waombolezaji wengi walitengeneza ishara...
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Celine arudi kwenye muziki
Celine arudi kwenye muziki
LAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya Celine Dion kukaa kwa muda mrefu bila ya kufanya muziki kutokana na kumuuguza mume wake, Rene Angelil, sasa ameanza kazi ya muziki upya.
Celine alipanda jukwaani juzi huku mume wake akiwa pembeni na kabla ya kuimba aliwaambia mashabiki: ‘Nadhani kila mmoja anajua nini ninataka kukufanyia leo siku yangu rasmi.’
Hata hivyo, msanii huyo alijikuta akidondosha chozi kutokana na mapokezi aliyoyapata kutoka kwa mashabiki wake.
Baada ya...
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Celine kufanya onyesho la mwisho na mumewe
LOS ANGELES, MAREKANI
MKALI wa sauti, Celine Dion, amesema kuwa anatarajia kufanya shoo ya mwisho siku ya Krismasi akiwa na mume wake, Rene Angelil.
Celine amekuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kumuuguza mume wake huyo ambaye anasumbuliwa na kansa. Hivi karibuni msanii huyo alikuwa akizunguka na mume wake katika maonyesho yake mbalimbali.
Lakini msanii huyo amesema kuwa siku ya sikukuu itakuwa mwisho kufanya shoo akiwa na mume wake, kwa kuwa hali yake haitamwezesha kuzunguka naye kama...
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Celine Dion amlilia mume wake runingani
NA BADI MCHOMOLO
MWANAMUZIKI nchini Marekani, Celine Dion, amedondosha machozi wakati alipokuwa akihojiwa na kituo cha utangazaji cha ABC kuhusiana na ugonjwa wa kansa unaomsumbua mume wake, Rene Angelil.
Mume wake huyo ambaye ndiye meneja wa kazi zake za muziki, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu na sasa hali yake ni mbaya anashindwa hadi kula.
“Kwa sasa anakula kwa shida mpaka nimsaidie kumlisha, namlisha mara tatu kwa siku hali ambayo inanifanya niwe katika wakati mgumu na kuwa...
9 years ago
Bongo502 Jan
Video: Celine Dion akitumbuiza ‘Hello’ ya Adele kwenye tamasha la kufunga mwaka
![Celine dion hello](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Celine-dion-hello-300x194.jpg)
Mwaka 2015 tumeshuhudia cover nyingi za hit single ya mwanadada wa Uingereza, Adele – Hello. Katika kuuaga mwaka 2015 muimbaji wa ‘My Heart Will Go On’, Celine Dion aliwa-surprise mashabiki waliohudhuria tamasha la kufunga na kukaribisha mwaka mpya 2016 huko Las Vegas, Marekani kwa kutumbuiza live, cover ya wimbo huo licha ya kwamba hajaurekodi. Tazama hapa na utoe maoni yako.
Je unahisi Celine Dion ameitendea haki cover hii?
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Wabunge wamuaga Mwaiposa
NA ARODIA PETER, DODOMA
VILIO na simanzi jana vilitawala katika viwanja vya Bunge mjini hapa wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga, Eugen Mwaiposa (CCM).
Mwaiposa (55) alifariki dunia juzi mjini hapa akiwa usingizini nyumbani kwake eneo la Chadulu na chanzo cha kifo hicho kimeelezwa kuwa ni shinikizo la damu.
Shughuli za kuaga mwili huo ziliongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai pamoja na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri Mkuu za zamani, Edward Lowassa, Katibu Mkuu...