Celine kufanya onyesho la mwisho na mumewe
LOS ANGELES, MAREKANI
MKALI wa sauti, Celine Dion, amesema kuwa anatarajia kufanya shoo ya mwisho siku ya Krismasi akiwa na mume wake, Rene Angelil.
Celine amekuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kumuuguza mume wake huyo ambaye anasumbuliwa na kansa. Hivi karibuni msanii huyo alikuwa akizunguka na mume wake katika maonyesho yake mbalimbali.
Lakini msanii huyo amesema kuwa siku ya sikukuu itakuwa mwisho kufanya shoo akiwa na mume wake, kwa kuwa hali yake haitamwezesha kuzunguka naye kama...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t4pYX9p1pWg/U1mSshirB5I/AAAAAAAFc3w/5Axr9IWL9s4/s72-c/Asia+(kulia)+na+vazi+lake+la+Khanga+katika+moja+ya+maonyesho+yake.jpg)
MAMAA WA MITINGO ASIA IDAROUS KUFANYA ONYESHO LA MIAKA 50, ABUJA, NIGERIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-t4pYX9p1pWg/U1mSshirB5I/AAAAAAAFc3w/5Axr9IWL9s4/s1600/Asia+(kulia)+na+vazi+lake+la+Khanga+katika+moja+ya+maonyesho+yake.jpg)
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin anatarajiwa kufanya onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, litakalofanyika Abuja, Nigeria, usiku Aprili 25.
Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Abuja, Nigeria, Asia Idarous ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, alisema onyesho lililoandaliwa na Umoja wa watanzania waishio nchini Nigeria, ambapo usiku huo wa Aprili 25, watakutana kwa pamoja na...
9 years ago
MichuziDJ WA NIGERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWAJAMII JIJINI DAR ES SALAAM
MTENGENEZAJI wa muziki, mtunzi wa nyimbo na DJ raia wa Nigeria anayefanya kazi zake nchini Marekani Bi.Florence...
9 years ago
VijimamboDJ WA KINAIJERIA KUFANYA ONYESHO NA KUTOA MSAADA KWA JAMII JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s72-c/1.jpg)
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s640/1.jpg)
10 years ago
CloudsFM23 Dec
KUMBE LINEX ALIKUJA DAR KUFANYA MUZIKI WA HIPHOP MWISHO AKAISHIA KUIMBA
STAA wa Bongo Fleva,Linex Sunday Mjeda amesema mashairi ya ngoma zake yana ufundi sana kama wanavyofanya watunzi wa ngoma za hiphop na yeye alisafiri kutoka mkoani Kigoma kuja Dar Es Salaam kama rapa japokuwa ngoma ya kwanza iliyomtambulisha ilikuwa ya kuimba, ya Mama Halima aliyoitoa mwaka 2010 na 2011.
Linex anafunguka ilikuaje na kina nani walimshauri kuimba.
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Maelfu wamuaga Celine Kombani
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Celine arudi kwenye muziki
Celine arudi kwenye muziki
LAS VEGAS, MAREKANI
BAADA ya Celine Dion kukaa kwa muda mrefu bila ya kufanya muziki kutokana na kumuuguza mume wake, Rene Angelil, sasa ameanza kazi ya muziki upya.
Celine alipanda jukwaani juzi huku mume wake akiwa pembeni na kabla ya kuimba aliwaambia mashabiki: ‘Nadhani kila mmoja anajua nini ninataka kukufanyia leo siku yangu rasmi.’
Hata hivyo, msanii huyo alijikuta akidondosha chozi kutokana na mapokezi aliyoyapata kutoka kwa mashabiki wake.
Baada ya...
10 years ago
Mtanzania26 Mar
Celine Dion amlilia mume wake runingani
NA BADI MCHOMOLO
MWANAMUZIKI nchini Marekani, Celine Dion, amedondosha machozi wakati alipokuwa akihojiwa na kituo cha utangazaji cha ABC kuhusiana na ugonjwa wa kansa unaomsumbua mume wake, Rene Angelil.
Mume wake huyo ambaye ndiye meneja wa kazi zake za muziki, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu na sasa hali yake ni mbaya anashindwa hadi kula.
“Kwa sasa anakula kwa shida mpaka nimsaidie kumlisha, namlisha mara tatu kwa siku hali ambayo inanifanya niwe katika wakati mgumu na kuwa...