Celine Dion amlilia mume wake runingani
NA BADI MCHOMOLO
MWANAMUZIKI nchini Marekani, Celine Dion, amedondosha machozi wakati alipokuwa akihojiwa na kituo cha utangazaji cha ABC kuhusiana na ugonjwa wa kansa unaomsumbua mume wake, Rene Angelil.
Mume wake huyo ambaye ndiye meneja wa kazi zake za muziki, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu na sasa hali yake ni mbaya anashindwa hadi kula.
“Kwa sasa anakula kwa shida mpaka nimsaidie kumlisha, namlisha mara tatu kwa siku hali ambayo inanifanya niwe katika wakati mgumu na kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Jan
Video: Celine Dion akitumbuiza ‘Hello’ ya Adele kwenye tamasha la kufunga mwaka
![Celine dion hello](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Celine-dion-hello-300x194.jpg)
Mwaka 2015 tumeshuhudia cover nyingi za hit single ya mwanadada wa Uingereza, Adele – Hello. Katika kuuaga mwaka 2015 muimbaji wa ‘My Heart Will Go On’, Celine Dion aliwa-surprise mashabiki waliohudhuria tamasha la kufunga na kukaribisha mwaka mpya 2016 huko Las Vegas, Marekani kwa kutumbuiza live, cover ya wimbo huo licha ya kwamba hajaurekodi. Tazama hapa na utoe maoni yako.
Je unahisi Celine Dion ameitendea haki cover hii?
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia...
9 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
9 years ago
Bongo528 Oct
Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FqkiRUfegCja4h4Kbyt3*oJGvWbX2k7qVlKduiNgIUPLjgIrWGoXcsmcP2n3KJHCUU9b7Zgo8gdEh0MhH*tHStRQoHAAba0u/biharusi.jpg?width=650)
MUME ADAIWA KUUZA KABURI LA MKE WAKE
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mechi kuonyeshwa runingani mara ya kwanza Somalia
10 years ago
GPLUKWELI KUHUSU HABARI YA DIVA KUTAMKA ZITTO NI MUME WAKE
10 years ago
Vijimambo